Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Kila wakati anakuambia amechoka, au ana mchepuko wa siri? Bwana ni mwaminifu hana mchepuko ila anapigwa "vidate "vya kiaina.
 
Naomba nami nijibu as nami ni mwanamke ;
Sababu ni nyingi;
Wanaume wengi wenu hamjuag kumsoma mwanamke mnakimbilia kuhukumu tu..
Mwanamke akichoka jaman sex hanaga hamu nayo Wala haenjoy.. ni wanawake wachache wanapenda kusex Mara kwa mara Sasa na hapo itabidi umjue mkeo kaangukia wapi..Kwahiyo mkeo akisema anajisikia kuchoka uwe unaelewa..
2;stress...
3: unam-boa...
4;anachepuka!
Majibu yako hayaoneshi dalili za kutoa muarobaini wa tatizo, umeeleza juujuu sana, wadau (wanaume) nisaidieni kama kuna mtu ameelewa maelezo ya Wangari Maathai
 
Kwanini baadhi yao(wanawake) Wanakosa hamu ya tendo la ndoa
Kama umemuoa then anakosa ham ya tendo ujue ana stress kichwani ambazo huzijui na hajapata suluhu bado au pengine unamfanya zaidi ya uwezo wake wa kustahimili so anaboreka au pengine humridhishi kabisa so anaona unampaka shombo tu!na kama hujamuoa ujue huyo mwanamke hakufeel wala nini kuna anaemfeel ndo anafurahia nae sex
 
Nafikiri ni upuuzi wa hali ya juu kwa mwanamke kuendelea kuishi na mwanaume wakati huohuo anajifanya eti hana feeling nae, kwanini usimwambie mtu mkaachana bado mapema ?, hapo utakuta anadai hana feeling na mwanaume huku anakula hela zake, kwanini usisema na hela zake huna feeling nazo ??, kweli wanawake ni tatizo zaidi ya matatizo yote
 
Naomba nami nijibu as nami ni mwanamke ;
Sababu ni nyingi;
Wanaume wengi wenu hamjuag kumsoma mwanamke mnakimbilia kuhukumu tu..
Mwanamke akichoka jaman sex hanaga hamu nayo Wala haenjoy.. ni wanawake wachache wanapenda kusex Mara kwa mara Sasa na hapo itabidi umjue mkeo kaangukia wapi..Kwahiyo mkeo akisema anajisikia kuchoka uwe unaelewa..
2;stress...
3: unam-boa...
4;anachepuka!
Hapo kwenye point #2 stress nadhani inahusiana na pesa.
 
Majibu yako hayaoneshi dalili za kutoa muarobaini wa tatizo, umeeleza juujuu sana, wadau (wanaume) nisaidieni kama kuna mtu ameelewa maelezo ya Wangari Maathai
Anatoa majibu yenye kuegemea upande mmoja.
Bado hajawa willing kufunguka kinagaubaga.
 
kwa nini ke wenye visimi vikubwa wana hisia kali sana za mapenzi na ni wepesi kufika kileleni?
 
Kama umemuoa then anakosa ham ya tendo ujue ana stress kichwani ambazo huzijui na hajapata suluhu bado au pengine unamfanya zaidi ya uwezo wake wa kustahimili so anaboreka au pengine humridhishi kabisa so anaona unampaka shombo tu!na kama hujamuoa ujue huyo mwanamke hakufeel wala nini kuna anaemfeel ndo anafurahia nae sex
Kwani Kama umemuoa hashindwa kua na jamaa ambaye anafeel nae kwa sex
 
Back
Top Bottom