chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 764
- 1,260
Ahsante kwa majibu mazuri mkuu but ninamaswali mawili ya nyongeza...1.Kwa wastani mwanamke anaweza kufika kileleni baada ya dakika ishirini. Huu ni wastani. Hata hivyo kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke mmoja na mwenzake.
2.Mara nyingi mwanamke kuchelewa kukojoa inatokana na matatizo ya kisaikolojia. Ni mara chache sana huwa wana matatizo mengine ya kiafya mfano matatizo ya homoni.
01.Nimekuwa nikisikia kuwa mwanamke ana namna mbili za kukojoa nikiwa na maana ya kukojoa goli la kawaida ambalo umesema dk 20 lakini kuna ilo lingine zito ambalo akikojoa ilo kwanza humuheshimu uyo mwanaume na wanaume tumekuwa tukilalamikiwa sana kushndwa kufika iyo stage ya kuwa kojolesha goli hilo upi ukweli wa jambo hili?
02.Nipo kwenye mchakato wa kutafuta mtoto na bby mama na hivi juzi kushinda jana ametoka period mchakato wa kutafuta mtoto unatakiwa uwanze sasa au baada ya siku saba?