Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,153
1,359
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
 
Yapi ni mapungufu makubwa ya mwanamke?
Wanawake imara sana katika kulea na kujeng familia. Lakini pia wana mapungufu mengine ambaayo ni mara chache kutokea kwa mwanaume.Mapungufu hayo ni kama
1. Kukosa usiri. Wanawake wengi sio watu wa kutunza siri. Wanaweza kutoa siri za familia kwa mtu ambaye hana msaada sana. Mfano ni rahsi mwanamke kumuelezea shoshti wake kama mmewe ana upungufu wa nguvu.
2.Kutumia hisia zaidi kuliko akili. Maamuzi ya wanawake wengi yanafuata hisia zaidi kuliko akili.
3.Wivu.
4.Matarijio ya uongo. ni rahsi sana wanawake kuamini wanayo ambiwa , kuona kwenye tv. kama umewahi kusikai mapenzi ya kwenye tamthilia yalianzia kwa wanawake. WENGI HAWAISHI KATIKA UHALISIA
 
Wanawake imara sana katika kulea na kujeng familia. Lakini pia wana mapungufu mengine ambaayo ni aghalabu kutokea kwa mwanaume.Mapungufu hayo ni kama
1. Kukosa usiri. Wanawake wengi sio watu wa kutunza siri. Wanaweza kutoa siri za familia kwa mtu ambaye hana msaada sana. Mfano ni rahsi mwanamke kumuelezea shoshti wake kama mmewe hana upungufu wa nguvu.
2.Kutumia hisia zaidi kuliko akili. Maamuzi ya wanawake wengi yanafuata hisia zaidi kuliko akili.
3.Wivu.
4.Matarijio ya uongo. ni rahsi sana wanawake kuamini wanayo ambiwa , kuona kwenye tv. kama umewahi kusikai mapenzi ya kwenye tamthilia yalianzia kwa wanawake. WENGI HAWAISHI KATIKA UHALISIA
Mwanamke bora ni yupi?
 
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Kwa nini huwa hawana nauli??
 
Tatizo la kusikia mauvimi chini ya tumbo upande wa kushoto na kulia na kutoa uchafu mzito wenye rangi ya brown ila usio na harufu (uchafu unakuwa kama umechanganyika na damu)
 
demu wangu kaniuliza mb0na mashne yngu nyembamba sana? nmetafakar cjapata jibu je nmwambiaje/nimfanyaje
Ukubwa au udogo wa uume hauna maana kitandani. Ukiona mwanamke analalamikia size ya maumbile yako ni kwamba haumridhishi. Kuwa mtundu zaidi kitandani. Umepewa vidole, ulimi, midomo na dudu. Vitumie vyote. Soma kwenye mitandao mambo hayo Siku hizi yameandikwa kila mahali
 
Tatizo la kusikia mauvimi chini ya tumbo upande wa kushoto na kulia na kutoa uchafu mzito wenye rangi ya brown ila usio na harufu (uchafu unakuwa kama umechanganyika na damu)
Tatizo hilo pasipo shaka kama mwanamke yuko sexually active ana maambukizi ya bakteria aina ya Klamidia (Chlamydia) .Ni ugonjwa ambao unaathiri wanawake wengi na pia unaweza kusababisha ugumba.
 
Back
Top Bottom