Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Unakubaliana na wasemao kuwa "mwanamke ni mtu hatari sana kama akiamua kuchukua maamuzi". Nama kama hukubaliani nao kwanini vivyo hivyo kama unakubaliana nao kwanini?
Swali lako linajibiwa na kifungu kutoka kwenye biblia. Ishini na wanawake kwa akili. Kutokana na mapungufu niliyosema kwamba wanawake wanatumia hisia sana kuliko akili. Hivyo anaweza kutumia hisia hizo akafanya jambo la ajabu sana. Ambalo akitulia analijutia
 
Nina maswali mawili ya msingi😡Kwa wastani wa kawaida inamchukua muda gani mwanamke kufika kileleni baada ya kumuandaa vizuri?
Swali la pili:Kwa wale wanawake ambao huwa wanachelewa kukojoa au kutokojoa kabisa mara nyingi husababishwa na nini?Ahsante
 
Ni hatari wakiamua kufanya maamuzi magumu? Na kama ni hatari kwanini iwe hivyo.
Swali lako linajibiwa na kifungu kutoka kwenye biblia. Ishini na wanawake kwa akili. Kutokana na mapungufu niliyosema kwamba wanawake wanatumia hisia sana kuliko akili. Hivyo anaweza kutumia hisia hizo akafanya jambo la ajabu sana. Ambalo akitulia analijutia
 
Nina maswali mawili ya msingi😡Kwa wastani wa kawaida inamchukua muda gani mwanamke kufika kileleni baada ya kumuandaa vizuri?
Swali la pili:Kwa wale wanawake ambao huwa wanachelewa kukojoa au kutokojoa kabisa mara nyingi husababishwa na nini?Ahsante

1.Kwa wastani mwanamke anaweza kufika kileleni baada ya dakika ishirini. Huu ni wastani. Hata hivyo kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke mmoja na mwenzake.
2.Mara nyingi mwanamke kuchelewa kukojoa inatokana na matatizo ya kisaikolojia. Ni mara chache sana huwa wana matatizo mengine ya kiafya mfano matatizo ya homoni.
 
halafu mwisho wa siku wanamaliza na conclusion 'kifupi wanawake hata wao hawajui wanataka nini' shenzy mtu mzima aliyebalehe awe hajui anataka nini huwezi kuwa serious
Sasa nimekuelewa
 
Wanawake wanajisiaje wanapoingiliwa kinyume na maumbile?

Kuna tofauti wowote wanaipata pale wanaingiliwa kwenye njia ya haja kubwa.
Kibailojia nerve zinazosupply kwenye maumbile ya mwanamke na mwanaume yanatoka sehemu moja. Nevu zote hizo zinatoka katika uti wa mgongo level ya S2-4. Kwa hiyo hakuna tofauti yoyote katika hisia na utamu
 
Back
Top Bottom