Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Kuna ukweli wowote kuwa mwanamke hawezi kuishi kwa raha Bila mwanaume.

Mifano Kuna mabinti wamesimamisha maisha vizuri lakini mwisho was siku inabidi waishi na wanaume.

Kuna wimbi la wanawake walioko diaspora hasa UK Hawa kutokana na maisha ya nje,ubaguzi, na tabia za wanaume was kizungu wengi mwisho was siku wanatafuta vi been 10 bongo na kufunga Hadi ndoa wakiamini ile dhana ya mke aliyekamilika ninaliyeolewa.
Mwanamke na mwanaume wameumbwa ili kukamilishana. It's like a key and lock. Kila mmoja anamhitaji mwingine
 
Nipo na kabinti wakati naanza kukabinua kalikuwa na matiti madogo madogo, lakin sa hiv yanazidi kuvimba na kuwa makubwa, sababu ni nini..
 
Nipo na kabinti wakati naanza kukabinua kalikuwa na matiti madogo madogo, lakin sa hiv yanazidi kuvimba na kuwa makubwa, sababu ni nini..
Hayo ni mabadiliko ya kawaida tu
 
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
Nasikia siku ya Kwanza kabisa mwanamke aitwaye Eva alikutana na nyoka kwenye bustani ya endeni na aliambiwa kuwa akila tunda la uzima ataishi milele pia nasikia Kuna kitu aliambiwa kuhusu pesa,je unaweza kutuambia nikitu gani aliambiwa na nyoka kuhusu hela?
 
Hiyo ni kesi nyingine. Jaribuni kuanzia siku ya saba baada ya hedhi.
Mwambie ajue mzunguko wa manzi wake, kama ni mfupi, wa kati au mrefu, then agawanye kwa 2 then - or + 3. Apige game kwenye siku hizo, yaan mfano mzunguko wake ni wa kati yaani siku 28, achukue 28 gawanya kwa 2 unapata 14, alafu hiyo 14-3=11, then 14+3=17 therefore apige game mfululizo kuanzia siku ya 11 hadi 17 lazima ikae kama mwanamke na mwanaume hawana tatizo.
 
Back
Top Bottom