Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

[emoji848] [emoji848] [emoji848] [emoji848] Mke wangu akinikimbia wewe ni chanzo kikuu.

Leta ujuzi acha roho mbaya, mbona wewe ulifanyiwa bure bila kuomba.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ka hautaki utaishia kumpiga mkeo kila siku.
 
Kwa nini wanawake wakiachia ushuzi unanuka kishenzi kama kafa panya? lakini sisi wanaume tunajieshimu mishuzi yetu hainuki sana.
 
Kwa nini wanawake wakiachia ushuzi unanuka kishenzi kama kafa panya? lakini sisi wanaume tunajieshimu mishuzi yetu hainuki sana.
Biolojia iko sawa. Tena inawezekana mwanaume kinanuka, mtu umekula vumbi la kongo, mchuzi wa pweza, karanga mbich, mihogo ila wenzetu wao ni burger na piza
 
Kuna point za mwanzo umejibu mwanamke eti hajawahi Kuwa bora tangu kuumbwa ulimwengu sijui dhaifu na ukitumia had bible kufanya justification zako kuhalalisha mawazo ya kiuoga ya wanaume wengi especially wa ki Africa. Hayo maumbile sio udhaifu ni biological makeup ni sawa na udogo wa chura uite udhaifu. Hafu huna tofauti na wa Saudi a Arabia wanaume wa naongelea mambo ya wanawake huku wakiwa wanaume hicho si kituko
P.ovu
 
Back
Top Bottom