Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Ahsante kwa majibu mazuri mkuu but ninamaswali mawili ya nyongeza...

01.Nimekuwa nikisikia kuwa mwanamke ana namna mbili za kukojoa nikiwa na maana ya kukojoa goli la kawaida ambalo umesema dk 20 lakini kuna ilo lingine zito ambalo akikojoa ilo kwanza humuheshimu uyo mwanaume na wanaume tumekuwa tukilalamikiwa sana kushndwa kufika iyo stage ya kuwa kojolesha goli hilo upi ukweli wa jambo hili?

02.Nipo kwenye mchakato wa kutafuta mtoto na bby mama na hivi juzi kushinda jana ametoka period mchakato wa kutafuta mtoto unatakiwa uwanze sasa au baada ya siku saba?
ACHANA NA UYU MTU ANAE JIBU MASWALI NDIVYO SIVYO AELEWEKI NI ME AU KE/

Naomba nijibu swali lako kisha kwa uwezo wa allah utapata mtoto

KITU CHA KUFANYA AU CHAKUZINGATIA / HUWA WANAWAKE WANATABIA YA KUTOKA UCHAFU AU MAJIMAJI KWENYE SEHEMU ZAO ZA SIRI WENGINE MAJI MAJI HAYO YANAASHIRIA UNGONJWA NA WENGINE NI HALI YA KAWAIDA

SASA NAKUTUMA KWA MKE WAKO MWAMBIE SIKU ATAKAPO ONA MAJI MAJI MAZITO AMBAYO AKIYASHIKA AU KUYAGUSA KWA VIDOLE YAVAVUTIKA VUTIKA BASI JUA HIYO NDIO SIKU YA KUFANYA MAPENZI NA KWA UWEZO WA MUNGU UTAPATA MTOTO

NIMEKUELEZEA KWA UFUPI SANA ILA KAMA UTAFANYA KAMA NILIVYO KUAMBIA UTAFAULU MKUU KWA MAANA HILO SOMO NI KUBWA SANA /na majimaji ninayo zungumzia ni maji maji yanayo fanana na shahawa na sio rangi ya maziwa
ASANTEH.
 
Nina maswali mawili ya msingi😡Kwa wastani wa kawaida inamchukua muda gani mwanamke kufika kileleni baada ya kumuandaa vizuri?
Swali la pili:Kwa wale wanawake ambao huwa wanachelewa kukojoa au kutokojoa kabisa mara nyingi husababishwa na nini?Ahsante
ACHANA NA UYO MTU ANAE KWAMBIA MWANAMKE ANAKOJOA BAADA YA DAK20

KIUKWELI KWA GOLI LA KWANZA KWA MWANAUME NI NDANI YA DAKIKA 5-6 KWA MWANAMKE KWA GOLI LA KWANZA Dk 10-11

JAPO KUNA WANAUME WANAWEZA KUPIGA BAO LA KWANZA NDANI YA 3-6 NA KWA UPANDE WAWANAWAKE KAMA ANAKUELEWA AU KAKUKUBALI AU ANAKUPENDA KUPITILIZA ANAWEZA KUKOJO CHINI YA DK 11

NA MWANAMKE ANAUWEZO WA KUKOJOA MARA NYINGI SANA ZAID YA MWANAUME KAMA WEWE MWAUME NI MTUNDU

NA MWANAMKE ALIE KEKETWA HUWA ANACHELEWA SANA KUKOJOA BAO LA KWANZA KWA MWANAMKE ALIE KEKETWA NI KUAZIA DAK 20-60 HAPO LAZIMA KIDUME UJIPANGE
ASANTEH.
 
Ametumia antibiotic zip na sindano gan kma unajua?.. Maana PID inahitaji combination ya dawa hata 3 na zaid.. Pili hilo tumbo humuuma kwa muda gan.. Na tatu daktari alisema shida yake ni ipi haswa?
sijawahi kumuuliza majina ya dawa anazopewa na pia maumivu humuanza anapoingia tu kwenye ovulation ndo maumivu weeee mpaka akiingia period nyingine ndo yanakata na akamaliza period anakuwa mzima tu ila akiingia tu ovulation maumivu yanaanza na hiyo yali ya kutoa uchafu wa brown huenda kwa muda mrefu mpaka akaribie period nyingine ndo yanapotea
 
ACHANA NA UYO MTU ANAE KWAMBIA MWANAMKE ANAKOJOA BAADA YA DAK20

KIUKWELI KWA GOLI LA KWANZA KWA MWANAUME NI NDANI YA DAKIKA 5-6 KWA MWANAMKE KWA GOLI LA KWANZA Dk 10-11

JAPO KUNA WANAUME WANAWEZA KUPIGA BAO LA KWANZA NDANI YA 3-6 NA KWA UPANDE WAWANAWAKE KAMA ANAKUELEWA AU KAKUKUBALI AU ANAKUPENDA KUPITILIZA ANAWEZA KUKOJO CHINI YA DK 11

NA MWANAMKE ANAUWEZO WA KUKOJOA MARA NYINGI SANA ZAID YA MWANAUME KAMA WEWE MWAUME NI MTUNDU

NA MWANAMKE ALIE KEKETWA HUWA ANACHELEWA SANA KUKOJOA BAO LA KWANZA KWA MWANAMKE ALIE KEKETWA NI KUAZIA DAK 20-60 HAPO LAZIMA KIDUME UJIPANGE
ASANTEH.
Haya tumeshajua muda wa kupiga ni dk 12 wastani.

Na je muda wa kumuandaa pekee dakika ngapi mkuu?
 
ACHANA NA UYU MTU ANAE JIBU MASWALI NDIVYO SIVYO AELEWEKI NI ME AU KE/

Naomba nijibu swali lako kisha kwa uwezo wa allah utapata mtoto

KITU CHA KUFANYA AU CHAKUZINGATIA / HUWA WANAWAKE WANATABIA YA KUTOKA UCHAFU AU MAJIMAJI KWENYE SEHEMU ZAO ZA SIRI WENGINE MAJI MAJI HAYO YANAASHIRIA UNGONJWA NA WENGINE NI HALI YA KAWAIDA

SASA NAKUTUMA KWA MKE WAKO MWAMBIE SIKU ATAKAPO ONA MAJI MAJI MAZITO AMBAYO AKIYASHIKA AU KUYAGUSA KWA VIDOLE YAVAVUTIKA VUTIKA BASI JUA HIYO NDIO SIKU YA KUFANYA MAPENZI NA KWA UWEZO WA MUNGU UTAPATA MTOTO

NIMEKUELEZEA KWA UFUPI SANA ILA KAMA UTAFANYA KAMA NILIVYO KUAMBIA UTAFAULU MKUU KWA MAANA HILO SOMO NI KUBWA SANA /na majimaji ninayo zungumzia ni maji maji yanayo fanana na shahawa na sio rangi ya maziwa
ASANTEH.
Ahsante mkuu ntaleta mrejesho....
 
Swali
FB_IMG_1542223683547.jpeg
 
demu wangu kaniuliza mb0na mashne yngu nyembamba sana? nmetafakar cjapata jibu je nmwambiaje/nimfanyaje
Hapo ujue sio mashine yako ni Nyembamba - ila Demu yako amekanyagwa na watu wenye mashine "Kubwa" kuliko wewe. Nina hakika ukipata Mwanamke "Bikra" - ataona mashine hiyo hiyo ni kubwa. Hivyo kuwa makini; katika kuchagua - kuna wanawake hata kama una "Mkono" wa Mtoto - watakwambia mashine yako ni ndogo - sababu wamezoea kuingizwa "vichwa" vya mtoto.
 
Nimeisha lijibu hili
Mkuu Papa Mobimba naomba kuuliza

Mwanamke mayai yake huanza kupevuka siku gani baada ya hedhi?

Na huanza kwenda katika tumbo la uzazi kutoka katika upevushaji siku ya ngapi?

Na kutembea siku ngapi njiani mpaka kwenye tumbo la uzazi?

Je likifika hapo linakaa mda gani mpaka kufikia kuharibika mkuu naomba majibu?
 
Mpemba you made my day
 
Yai linapevuka siku ya 14 kabla ya hedhi inayofuata. Na yai la mwanamke lina kuwa viable kwa muda wa masaa 36 mpaka 48. Baada ya muda huo linakuwa limepoteza uwezo wa kurutubishwa. Linakaa kwenye mfuko wa kizazi linatolea siku 14 baadae na damu ya hedhi
 
Back
Top Bottom