Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
- Thread starter
- #541
Ndivyo walivyoumbwaKwanini wanapenda kudanganywa/uongo kuliko ukweli
Ndivyo walivyoumbwaKwanini wanapenda kudanganywa/uongo kuliko ukweli
Inawezekana akawa na matatizo kwenye mfuko wa kizazi. Ni vizuri kufanya ultrasoundsijawahi kumuuliza majina ya dawa anazopewa na pia maumivu humuanza anapoingia tu kwenye ovulation ndo maumivu weeee mpaka akiingia period nyingine ndo yanakata na akamaliza period anakuwa mzima tu ila akiingia tu ovulation maumivu yanaanza na hiyo yali ya kutoa uchafu wa brown huenda kwa muda mrefu mpaka akaribie period nyingine ndo yanapotea
Mkuu nilitaka mchanganuo kwa kirefu kidogo hivi sijakuelewa.Yai linapevuka siku ya 14 kabla ya hedhi inayofuata. Na yai la mwanamke lina kuwa viable kwa muda wa masaa 36 mpaka 48. Baada ya muda huo linakuwa limepoteza uwezo wa kurutubishwa. Linakaa kwenye mfuko wa kizazi linatolea siku 14 baadae na damu ya hedhi
Yani kwamba kwa mchepuko ni full unyevunyevu, ila kwa bebi wako ni holaaa...?huenda hujaelewa swal langu haya tuendelee
ENDOMETRIOSIS..sijawahi kumuuliza majina ya dawa anazopewa na pia maumivu humuanza anapoingia tu kwenye ovulation ndo maumivu weeee mpaka akiingia period nyingine ndo yanakata na akamaliza period anakuwa mzima tu ila akiingia tu ovulation maumivu yanaanza na hiyo yali ya kutoa uchafu wa brown huenda kwa muda mrefu mpaka akaribie period nyingine ndo yanapotea
Nafikiri nilikujibu maswali ya muhimu zaidi. Swali juu ya muda gani linafika kwenye mfuko wa kizazi halina umuhimu sana. Kwa kifupi hakuna muda maalumu wa kufika kwenye mfuko wa kizazi.Mkuu nilitaka mchanganuo kwa kirefu kidogo hivi sijakuelewa.
Kama ingekuwa bora zaidi mkuu ungenijibu kila swali na jibu lake,nimeweka maswali kwa kutofautisha ili unipe majibu kwa maswali yalivyo,umenijibu jumla mkuu.
Samahani kwa usumbufu
Very likely she has Endometriosis. PID ingerespond kwenye antibiotics. Na history aliyotoa kwenyw comment ya Mwisho ina tally zaidi na endometriosis. Lakini bado anahitaji kufanya culture na ultrasoundENDOMETRIOSIS..
PID...
Hiyo inatokana na jinsi voice inavyokuwa processed kati ya mwanamke na mwanaume.Kwanini wanawake wanasikia na kusikika vizuri kuliko wanaume
Wanawake wanatumia maeneo tofauti ya ubongo kuprocess matukioKwanini wanawake wanakumbukumbu nzuri sana hasa ya matukio ya zamani au ya utotoni ?
Ili asiangukeKwa nn kama kitanda kimeegemea ukutani, mwanamke huwa anapenda sana kulala upande wa ukutani mwa kitanda huwa hataki kulala mwanzo ni mwa kitanda?
🤣🤣🤣Ili asianguke!. Hahahaaaa. Hata wangu yupo hivyo hivyo.
😷Yani kwamba kwa mchepuko ni full unyevunyevu, ila kwa bebi wako ni holaaa...?
Romance dk 20, na Sex dk 30 angalau
Wanawake ni wasiri wa kupindukia, inategemea na ishu. Kama ni ishu yao basi wataiweka sirini na kamwe hutaijua, ila kama ni ishu yako basi hapo ndio wanaweza kupayuka mpaka mtaa wa saba wakajua kila kitu.
Mwanamke akiamua kuweka siri basi ataenda nayo mpaka kaburini.
Ushahidi: Mkemia mkuu Baba wengi waliopima DNA 2017 watoto si wao. Sasa hao ndio Baba waliopima. Sisi ambao hatujawapima wanetu, basi tuendelee kulea tu huku tukiwa na matumaini.