Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Watu hupenda kuhukumu sana sijui life style la wengine lina waumiza nini
Mtu siku zote huchukia akimuona mwenzie anafuraha lazima atie figisu ili nyote mtaabike, ukishawajua silaha kubwa ni kucheka na kusonga mbele.
 
Duuh wanakuja hadi chemba? Na wanavyojitiaga wana uwezo wa kuhamisha mbingu ikawa ardhi kama nawaona [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu mama, bado huko chemba wanajiapiza kwa gharama yoyote naishia tu kucheka maana sio kwa chuki hii.
 
Duuh wanakuja hadi chemba? Na wanavyojitiaga wana uwezo wa kuhamisha mbingu ikawa ardhi kama nawaona [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu maneno yao yanaweza kukufanya ukadondosha kikombe cha chai halafu ukija kumuona huyo mtoa mkwara anafika nusu kiganja.... hahahaha
 
Naamini Ila mengi yaliandikwa na wanaume so walitia chumvi kumuonea mwanamke maana zamani wanawake hawakua na haki popote. Ndo maana Yesu alipopelekewa yule mwanamke kahaba kwa uzinzi wampige mawe pekee akawaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Ndo uone uonevu sasa
Uonevu upo pande zote mkuu
Ndio maana mashoga wanakimbizwa mtaani lakini husikii wakiwatafuta wasagaji

Wanawake wengi wanabaka wanaume lakini sheria inambana mwanaume pekee

Vipi hapo?
 
Naamini Ila mengi yaliandikwa na wanaume so walitia chumvi kumuonea mwanamke maana zamani wanawake hawakua na haki popote. Ndo maana Yesu alipopelekewa yule mwanamke kahaba kwa uzinzi wampige mawe pekee akawaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Ndo uone uonevu sasa
Mpaka hapo tuseme huamini, kama unaamini mengine yameandikwa kwa maslahi binafsi.
 
Mpaka hapo tuseme huamini, kama unaamini mengine yameandikwa kwa maslahi binafsi.
Vtu vingine kujiongeza tu hapo na zamani viliandikwa na wanaume unategemea nini. Hafu wanawake walikuwa hawahesabiwi ka watu. Mfano issue ya mtume Paul na marriage
 
Back
Top Bottom