msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,928
- 2,440
wanawake waliokeketwa nao wanakojoa na kama wanakojoa mbona huwa wanakuangalia tu hata ukae saa nzima kiunoni?
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.
Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.
Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.