Nitatoa zawadi ya 200,000

jina linaweza kuwa lake je picha una uhakika ni yake? fikiria mbalii kidogo majina yanafana sana
 
Kama hujampata mwizi wako njoo pm nikupe details jinsi ya kumpata,naogopa kuweka details hapa kwa sababu mwizi anaweza kuwa yupo kwenye hili jukwaa
Weka tu ili iwe fundisho
 
Hongera sana mkuu naona yeye aliumia Mara mbili yako maana Pesa inaingia anakimbia kwa wakala anaambiwa pesa imerudi na ukute alikuwa anadaiwa hela ya pango hahaah
Baada ya hapo na mashtaka juu
 
Weka tu ili iwe fundisho
Okay,kama mwizi husika amejiunga na mitandao ya kijamii kama facebook,instagram etc,tumia rafiki zake wa karibu au ndugu zake(ukifuatilia kwa kina utajua ndugu au rafiki wa muhalifu)Pia kama mwizi ni mwanaume tafuta msichana then huyo msichana atengeneze mazingira ya ukaribu na muhalifu then utampata soon.Njia nyingine ni ya kutumia vyombo vya dola although ni garama,pia kama jina la muhusika unalifahamu unaweza kufuatilia educational background humo utakutana na marafiki zake na mwisho wa siku utampata muhusika..NOTE:njia hizi zitafaa pale tuu umekosea kutuma pesa kama umemtumia mtu pesa kwa hiyari yako especially kutuma pesa kwa muhusika ambaye haujawahi kuonana nae ni vigumu sana kumpata kwa sababu wengi huwa wanasajili laini kwa vitambulisho feki so hata majina yao huwa ni feki pia.
 
Sasa apo umejuaje kama huyo ulomuweka picha ndo yeye, hujui kuna watu wanana majina?
 
You are damn wrong! The guy is a THIEF! Do you even what a word thief mean?
 
Unajua terms and conditions za kusajili namba ya simu au unabwabwaja tu?
 
Unajua terms and conditions za kusajili namba ya simu au unabwabwaja tu?
Inatia hasira sana aiseeee.......
Nimejifunza mengi sana kupitia huu uzi.
Na nimegundua watu wengi hawajui na wanapoteza haki zao kwa kuogopa ama kutokujua vipengele vidogo vya sheria za wizi wa mitandaoni
You are fuckn idiot! Unajua maana ya mwizi ni nini?
 
ni pm mkuu nikupe namba za mtu pale polisi kati atakusaidia hilo tatizo watu kibao kawasaidia yeye ni kitengo maalumu kwa hii issu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…