modest
Member
- Oct 18, 2016
- 89
- 38
Kaka inaonyesha ujawai pigwa pesa wewehuo ni kuchafuana brand!una uhakika gani kama ndio yeye?kosa ni kako au lake?kwa nini umejipa kazi ya polisi na mahakama?kama sio yeye uko tayari kumlipa fidia?achaupuuzi

Mie namngojea mrejesho ushimenAtafikiria yeye huko nyuma ya nondo
Sihitaji msaaada wako tafadhali, maana naona umeamua kuhamishia matatizo yako kwangu

Hayo unayo yasema yote niliyafanya.Pole sana,
Naamini umeonge na watu wa mtandao wa simu husika.
Ila ni bora ungetumia busara zaidi, kwa maelezo uliyoyatoa wewe ndio mwenye kosa kwa kutuma pesa kwa huyo kijana.
Sasa huo sidhani kama ni wizi kama ulivyosema.
Mimi nilishwahi kukosea, nikatuma pesa nyingi sana kwa mtu (though nilikua namjua as ni mlinzi wetu nyumbani) lakini nilichofanya nilizidisha kwa bahati mbaya.
Yule mlinzi alizitoa zote na simu akazima. Nilipoongea na customer care waliniambia hawana cha kunisaidia aababu pesa tayari imekwisha tolewa
Nilichofanya nikatumia hekima na ustaraabu zaidi wakuweza kumpata
Nashukuru Mungu nilizikuta zile pesa ila ziikua kwenye harakati ya kutumika.
So, kumuita huyo jamaa mwizi naona sio sawa maana utakua umemdharirisha
Ukizingatia wewe ndie ulietuma kwake.

Huyo kijana ameonyesha hana uaminifuHayo unayo yasema yote niliyafanya.
Kumbuka pesa ilitumwa tarehe 23 March, na nikakuja kumwaga mboga baada ya wiki mbili na sehem.
Na......
Wewe ulikua ukimfaham huyo mwizi wako, tofauti na mimi as mfaham.
By the way tamaa inaponza, ikikuponza utaiba, ukisha iba hapo tena unahitaji busara itumike....![]()
![]()
Huu ni upuuzi aiseeee......
Yaani kama hata nilikubali kumpa 50,000 kama asante, lakini bado akazima sim na kutokomea kusiko julikana..... Napo bado unanihubiria nifanye busara....![]()
![]()
![]()
In short jamaa sio mstaarabu. Hela hujaitolea jasho unataka kujimilikisha? angekuwa mstaarabu angekula efu 50 yake kiualali kabisa coz ulimwambia aichukue. Tamaa mbayaHayo unayo yasema yote niliyafanya.
Kumbuka pesa ilitumwa tarehe 23 March, na nikakuja kumwaga mboga baada ya wiki mbili na sehem.
Na......
Wewe ulikua ukimfaham huyo mwizi wako, tofauti na mimi as mfaham.
By the way tamaa inaponza, ikikuponza utaiba, ukisha iba hapo tena unahitaji busara itumike....![]()
![]()
Huu ni upuuzi aiseeee......
Yaani kama hata nilikubali kumpa 50,000 kama asante, lakini bado akazima sim na kutokomea kusiko julikana..... Napo bado unanihubiria nifanye busara....![]()
![]()
![]()
fikiria tena ila sio kwa maandishiMakosa ya kwako mkuu y usiwe makin na pesa zako......
Yan ungekosea kwang....hata izo info ungezskia kwa bomba.
Ebu acha kijana atapike utumbo kwakua alijisomomezea dole kinywaniIn short jamaa sio mstaarabu. Hela hujaitolea jasho unataka kujimilikisha? angekuwa mstaarabu angekula efu 50 yake kiualali kabisa coz ulimwambia aichukue. Tamaa mbaya
yawezekana alikua anamuomba Mungu ana shida na hela sasa ilipoingiq akadhani Mungu amemjibu maombi yakeDah! Halafu anatoka ibadani,....atakuwa shetani kampitia aisee. Ila bado nina mashaka kama ni yeye.

Kweli aisee Hugo jamaa Venance mi nimesoma naye hakuwa na Tania kama hyo, afu mtuma pesa ndo mwenyej makosaPole sana,
Naamini umeonge na watu wa mtandao wa simu husika.
Ila ni bora ungetumia busara zaidi, kwa maelezo uliyoyatoa wewe ndio mwenye kosa kwa kutuma pesa kwa huyo kijana.
Sasa huo sidhani kama ni wizi kama ulivyosema.
Mimi nilishwahi kukosea, nikatuma pesa nyingi sana kwa mtu (though nilikua namjua as ni mlinzi wetu nyumbani) lakini nilichofanya nilizidisha kwa bahati mbaya.
Yule mlinzi alizitoa zote na simu akazima. Nilipoongea na customer care waliniambia hawana cha kunisaidia aababu pesa tayari imekwisha tolewa
Nilichofanya nikatumia hekima na ustaraabu zaidi wakuweza kumpata
Nashukuru Mungu nilizikuta zile pesa ila ziikua kwenye harakati ya kutumika.
So, kumuita huyo jamaa mwizi naona sio sawa maana utakua umemdharirisha
Ukizingatia wewe ndie ulietuma kwake.
Hlo kosa halimfung mtu amin nakwambia.... Cyo den wala hajaiba....Mkuu ushimeni hawa watoto na mabitoz wasiojua kutafuta pesa wasikupangie cha kufanya madam umempata huyo mwizii peleka akanyee debe shenzi kabisa ajifunze