Nitatoa zawadi ya 200,000

Nitatoa zawadi ya 200,000

Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba... , nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Ukipata msaada Wa Tigo pamoja na cyber crime zoezi ni dogo sana,maana watafatilia account ya simu aliyokuwa akiitumia then wanampatia afisa Wa Polisi majina ya watu ambao huwa anawasiliana nao mara kwa mara,wale watu wanahojiwa na maafisa Wa Polisi na wanakuwa retained hawa watu watatoa information zake na Hata watampigia na kujua yuko wapi.Mnamkamata kama panzi,niliwahi kupata tatizo ingawa linapishana kidogo na la kwako ,l spent almost miezi miwili then maafisa Wa Polisi wakanitaka nipate usafiri Wa kuwazungusha kukamata hao watu Wa pembeni,ilikuwa saa tatu asubuhi,by saa nane mchana tukampata mtu wetu,wengine wakaachiwa.He paid all the cost l spent.Angalisho.....Baadhi ya maafisa si waaminifu kuwa mwangalifu...utapigwa peaa na zoezi halifanyiki.Msaada mkubwa wanatakiwa kukupatia Tigo,then cyber crime department ya Polisi wanaendelea.
 
umeshaongea naye!?au umewasiliana na tigo kuziblock hizo hela!?
Jamaa ndani ya dakika chache alikuwa keshatoa hizo pesa ila ni watu wa Application ya Ms Tanzania.
Screenshot_2017-04-12-21-49-45.png
 
Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba... , nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa

MKUU,

KAMA HUTOJALI UNGETAJA KIASI 'ALICHODUFUA' ILI IWAPE RAIA WENYE UWEZO NA NAFASI
ARI YA KUKUSAIDIA KATIKA HILI.
 
Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba... , nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Police wangekuwa na ushirikiano asilimia mia ni rahisi kabisa kumpata, labda tu namba iwe mpya kabisa. Polisi kushirikiana na kampuni ya simu ambayo namba ya mtuhumiwa anatumia wanaangalia aliwasiliana na nani. Watafika hadi mlangoni kwake
 
Sasa we ndio ulikosea bro hata ukasikia uislam ndio akurudishie kwa usawa huu wa dereva wa lorry. Mm msaada wangu tuma salamu kwa watu watatu
 
Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba... , nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Hakuna kesi hapo wewe ni mzembe tu.
 
Anatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Pole mkuu hawa watu lazima waelewe ustaarabu ni nini, utampata tu, mweke kwenye facebook, intasgram na hata ikiwezekana toa tangazo ITV etc, swala iwe fundisho kwa wengine, hata kama utapata hasara.
 
Hadi sasa kilakitu kinaenda vizuri Mkuu.......
Subirieni mrejesho tu
 
Jamaa ndani ya dakika chache alikuwa keshatoa hizo pesa ila ni watu wa Application ya Ms Tanzania. View attachment 495287
Dah!!!! umeshatapeliwa, hao jamaa nimatapeli balaa nimeshawasikia sana huko Facebook wanaibia sana watu wanadai wanauza application za kumchek mwenza wako kama anakucheat
kama ndio hao pole sana.
pesa kurudi kazi labda uende polisi kitengo cha wizi wa mitandaoni wanaweza kukusaidia kumpata huyo jamaa
 
Mkuu...
Huyu jamaa nilimtumia pesa kwa bahati mbaya nikiwa nafanya malipo kwa watu kadhaa.... Sasa baada ya kuwalipa wengine wote, nikapata sim toka kwa jamaa mmoja akiulizia malipo yake. Nami nikamjibu kwamba tayari nimefanya malipo kwa watu wote, lakini nikaamua kurudi kuhakiki kama nilikua sahihi.... Toba... , nikakuta nimezituma kwa Venance Chiwalala.
Hapo nikaamua kumpigia sim na kumtaarifu kuhusu kilicho tokea king makosa kwa kumtumia pesa asio stahiki, kisha huyu jamaa akakubali na akaniahidi kuirudisha baada ya muda mchache, nami bila hiyana nikamwambia achukue 50,000 kwakua amekua muungwana.
Baada ya kuona muda unapita, ndipo nikaamua kumpigia tena na jamaa akawa amezima sim.
Hajapatikana kwenye namba ile hadi leo.
Hapo nikaamua kwenda toa taarifa police kuhusu tukio lile, na nikafungua kesi ya kuibiwa kwa njia ya mtandao.
Hapo bila kuchelewa nikaanza kufanyia kazi jambo hili na nikapata informations zake kadhaa
Sasa uyo ndo kumweka kwenye kundi la tapeli Pesa umetuma mwenyew hats Mimi ningepoterea mitini tu usawa huu
 
Njaa zitaja watoa roho.
Leo kwenye njaa na tamaa kama wewe, ananyea debe na amewafedhehesha wazazi wake pamoja na kanisa lake...
Ushirombo guy vipi bana, kwanini ulibonyeza namba moja kuthibitisha bila kujiridhisha na Jina la unayemtumia??

Vipi lakini umefanikiwa kumpata huyo kijana? Bado upo dsm au umeshaenda ushirombo?
 
Hawa watoto tatizo kwakua wanatuona tunashinda nao humu na kutaniana nao, wanadhani tunafanana nao.
Kama jamaa ameshindwa kua muungwana, nami sioni ajizi kumuanika aiseeeee.... Na hii itakua fundisho kwa wenye tabia kama yake
good nimeipenda hii..mm mwenyewe Niko mbioni kumlipua mtu humu!!

uamnifu umekua mtihani sana siku hizi kaona elf50 ndogo..mshenzi huyooo

mkamate mfunge kabisa!!!wanakera sana hawa wezi
 
Back
Top Bottom