Nitatoa zawadi ya 200,000

Nitatoa zawadi ya 200,000

Ukwelin kwamb umeingia lost na pole sana kwa hilo, Na yy kwa ujumla anamakosa makubwa tu kwakua alishakiri, kosa lako japo siwez kukulaum sana mana inaonesha kwa mzgo ulioutuma n mkubwa ulipanic kias, ila ilipaswa kabla hujamuanika kwa njia hii, basi ungetumia njia hio hio ya kumtafuta kweny social network huko huko mfano fb umfuate PM UMPE WARNING KWANZA km asipokua muungwana Unamuanika live au kwa njia km hizo za kuwapata watu wa karb mfno ndugu, Naamin wasingependa ndugu yao adharirishwe mana na wao watakua wamedharirika, wangekusaidia am sure na inshu ikaisha kiivyo, M ninavyoona pande zote zinamakosa ila n ukubwa wa makosa tuu ndo unatofautiana, ALL IN ALL POLE SANA
 
M kwaufupi nimejifunza meng sana kwenye hii inshu kuanzia kweny ideas za watu, Unaweza usiwe mwiz ila ukiwa tuu na tamaa basi unajivika mwenyewe Uwizi, na matokeo ya tamaa ni wizi. M naamin atajutia sana alichofanya maanaa asaiv baada ya madk tutamuona kweny ma grp ya wasap.
 
Hapo kapiga picha eneo la kanisa.. ina maana wewe kabla ya kumuanika huku basi ungefanya upelelezi kimya kimya kwa washarika wa pale kimara naona ingekuwa rahisi sana kumpata..ila sasa umeshamwanika hapa akiona atajua unamtafuta atatokomea mkoa.. kama ni hele ndefu keshapata mtaji..ila pia it might not be too late, fanya kumfukuzia kimya kimya pale kanisani uliza utampata tu
 
..
.
x . . ,. ..

,/ n. . , . . / .
, .. . .
. .
.
. . . .. .
..
,.. ... _ .. .. . b.
bvd

g
.
.
gfbmm
 
Ukwelin kwamb umeingia lost na pole sana kwa hilo, Na yy kwa ujumla anamakosa makubwa tu kwakua alishakiri, kosa lako japo siwez kukulaum sana mana inaonesha kwa mzgo ulioutuma n mkubwa ulipanic kias, ila ilipaswa kabla hujamuanika kwa njia hii, basi ungetumia njia hio hio ya kumtafuta kweny social network huko huko mfano fb umfuate PM UMPE WARNING KWANZA km asipokua muungwana Unamuanika live au kwa njia km hizo za kuwapata watu wa karb mfno ndugu, Naamin wasingependa ndugu yao adharirishwe mana na wao watakua wamedharirika, wangekusaidia am sure na inshu ikaisha kiivyo, M ninavyoona pande zote zinamakosa ila n ukubwa wa makosa tuu ndo unatofautiana, ALL IN ALL POLE SANA
Hayo yote yalifanyika kabla na hata baada.
Ila kwasasa kilakitu kipo under control.
Thanks
 
Hapo kapiga picha eneo la kanisa.. ina maana wewe kabla ya kumuanika huku basi ungefanya upelelezi kimya kimya kwa washarika wa pale kimara naona ingekuwa rahisi sana kumpata..ila sasa umeshamwanika hapa akiona atajua unamtafuta atatokomea mkoa.. kama ni hele ndefu keshapata mtaji..ila pia it might not be too late, fanya kumfukuzia kimya kimya pale kanisani uliza utampata tu
Rudia kusoma Uzi na uelewe mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni hivi...very simple. Kuna jamaa wangu alituma hela kimakosa hvohvo. Baada ya kumshauri kaenda ktk mtandao husika then wakamwambia keshatoa ila wakakomaa na kufuatlia wakala aliemtolea hela kaulizwa je mteja alikuwa na kitambulisho? Kucheki kumbe alimpa hela bila kitambulisho! Ikala kwa wakala so hela zikarudishwa kwa aliekosea Kutuma hela.
 
IMG_20170412_194840.jpg
 
Mhh!! Jamani nafkiri mngetupa chetu kwanza ili tupate morali ya kuwatafuta hao watu!! Lakini pia si mchezo mzuri kuchafuana kama hivyo atleast ungetuma copy ya RB tujue kama kweli umetapeliwa tuna hofu isije ikawa una bifu nae binafsi maana dogo hana sura ya kiwizi
 
Back
Top Bottom