Nitatoa zawadi ya 200,000

Nitatoa zawadi ya 200,000

Anatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa angalizo kwamba zawadi ya 200,000 itatolewa kwa yeyote atakae toa informations zake na exactly location anayo patikana naomba ani PM.
Nimeambatanisha picha na machache niliyo yapata kuhusu mtu huyu.
Asanteni.View attachment 492396View attachment 492397View attachment 492398
halafu amefanana na bash*****te au macho yangu jameni?
 
Huyu dogo nimesoma naye na hana hizo tabia, na no kweli hilo jina ndo lake
Mkuu....
Mwanzo niliongea nae na akakubali, nami kwa kumuona muungwana nikamwambia isiwe tabu..... Katika hiyo pesa achukue 50,000 na kisha anirudishie iliobaki.
Ghafla akapotea mazima na hakupatikana online tena.
Kumbe tayari nilikua nimesha chukua some particulars zake kutoka kwenye vyanzo kadhaa.
Na RB juu
 
Halafu mimi ninavyochikia mwizi na wizi wa aina yoyote niko tayari kupoteza eg sh milioni moja kuhakikisha mtu aliyeniibia laki 5 anapata adhabu inayostahili!
Sikuzote tamaa huponza
 
You are damn wrong! The guy is a THIEF! Do you even what a word thief mean?
Nenda kwenye kamusi uangalie neno mwizi lina maana halafu urudi hapa kunipa mrejesho. Niliyotoa ni maoni yangu kutokana na uelewa wangu. Mimi sihitaji ushauri wala msaada. Nilikuwa najaribu kumshauri mleta mada kwa vile kapoteza fedha,asiendelee kupoteza pesa zingine. Ushauri si lazima auchukue,anaweza kuuchukua au kuuacha...!!
 
Haina haja ya kwenda kwenye kamusi kwani huyo unayemtetea ana-qualify kuitwa mwizi kwa namna zote! Hapa ni forum na ukitoa ushauri potofu lazima tukurekebishe!
 
Haina haja ya kwenda kwenye kamusi kwani huyo unayemtetea ana-qualify kuitwa mwizi kwa namna zote! Hapa ni forum na ukitoa ushauri potofu lazima tukurekebishe!
Hivi kukosea kutuma hela unatofautisha vp na kudondosha hela!!?
 
Niyeye mkuu, kwani hata namba aliokua akitumia haipatikani tena.
Pia nimefanya udukuzi kwa mambo machache na nikapata informations zake kadhaa
sasahata wewe WA kupwlekwa Central .

unadukuwaje mawasiliano ya MTU wakati wewe sio afsa wa polisi hujui ni josa kisharia hata kama ni mtuhumiwa???

i
 
Kama sio yeye, kwanini alikubali kua amezipokea na akazitoa?

Kama sio yeye kwanini alikubali kwamba anazirudisha?

Kama sio yeye kwanini amepotea kwenye namba ya simu nili mtumia?

Kama nilimtumia hiyo pesa tarehe 23 March, jaribu kuoanisha na alichokuja kuki post kwenye account yake ya facebook tarehe 26 March
Mkuu what if picha iliyopo sio ya muhusika?? Nadhani unaweza kuwa shaidi wa zoezi la usajili wa line za simu ulivyokuwa ukifanyika. Watu walikuwa wanatumia hata vitambulisho vya watu wengine ili waweze kusajiliwa.
 
Hamas E="mwakibete, post: 20667019, member: 18391"]Mkuu what if picha iliyopo sio ya muhusika?? Nadhani unaweza kuwa shaidi wa zoezi la usajili wa line za simu ulivyokuwa ukifanyika. Watu walikuwa wanatumia hata vitambulisho vya watu wengine ili waweze kusajiliwa.[/QUOTE]
Jamaa juu hapo amekubali anamfahamu jamaa NA picha ni za muhusika.
 
Watu wanaandika comments pasipo kufikilia, yaaani kamuibia fedha kivipi tuanzie hapo????Hata
 
WENGINE ILISHATUTOKEA NA TUKAAACHNA NAYO, MM NILITUMA FEDHA KWA TIGO, MTU KAITOA FASTA. KURUDISHA FEDHA MAISHA HAYA
 
Back
Top Bottom