Nitatoa zawadi ya 200,000

Nitatoa zawadi ya 200,000

Hamna tofauti. Tofauti ni kuokota hela hiyo na kuzitumia ilhali ukijua si zako na ukimjua mwenyewe, na mwenyewe kukuomba uzirudishe na wewe kugoma. Hapo unageuka kuwa Mwizi .
Mkuu anageuka mwizi wakati umemshawishi mwenyewe..!!?? Tuwe wakweli pesa inahitaji umakini mkubwa ndo maana unaona jinsi inavyotunzwa huko bank inakohifadhiwa. Maskini wengi hatuna mfumo mzuri wa kuheshimu pesa. Ndo maana ni lahisi sana kukuta elf 10 anachezea mtoto wa masikini sebuni lkn huwezi kuona hata Tsh.100 nyumbani kwa tajiri..!! Tajiri anafikia mafanikio kutokana na kuheshimu pesa...!!
 
Hivi kukosea kutuma hela unatofautisha vp na kudondosha hela!!?
Kwa hiyo wewe unafikiri mtu akiwa mbele yako akidondosha fedha na wewe ukiziokota na kukimbia huna hatia? Ni zako? Huwa ni wizi kama wizi mwingine!
 
Mkuu what if picha iliyopo sio ya muhusika?? Nadhani unaweza kuwa shaidi wa zoezi la usajili wa line za simu ulivyokuwa ukifanyika. Watu walikuwa wanatumia hata vitambulisho vya watu wengine ili waweze kusajiliwa.
Hadi naweka picha yake hapa, sikua nikifanya kubahatisha kwasababu tayari nilichukua tahadhari zote pamoja na kujiridhisha, pia nilipata baadhi ya vielelezo visivyo na shaka.
Kwakifupi zoezi hili lilinichukua zaidi ya wiki mbili kabla ya kuamua kumwaga mambo hadharani
 
WENGINE ILISHATUTOKEA NA TUKAAACHNA NAYO, MM NILITUMA FEDHA KWA TIGO, MTU KAITOA FASTA. KURUDISHA FEDHA MAISHA HAYA
Ingekua pesa kidogo, kwanza nisinge hangaika kutangaza zawadi ya 200,000
Zaidi ningepuuza tu, kisha maisha yakasogea
 
Mkuu anageuka mwizi wakati umemshawishi mwenyewe..!!?? Tuwe wakweli pesa inahitaji umakini mkubwa ndo maana unaona jinsi inavyotunzwa huko bank inakohifadhiwa. Maskini wengi hatuna mfumo mzuri wa kuheshimu pesa. Ndo maana ni lahisi sana kukuta elf 10 anachezea mtoto wa masikini sebuni lkn huwezi kuona hata Tsh.100 nyumbani kwa tajiri..!! Tajiri anafikia mafanikio kutokana na kuheshimu pesa...!!
Nipo njia panda

Je, unakumbuka siku ulipo okota pochi ikiwa na simu pamoja na kiasi cha fedha taslim 400,000..?
Je, ungekua na tamaa kama unavyo jaribu kupotosha hapa nini kingetokea...?
Je, unakumbuka jinsi mwalimu alivyo pigwa na butwaa hata akazimia akidhani wewe ni jini baada ya kumrudishia vitu vyake baada ya miezi kadhaa masipo mapungufu...?

Naona unatukana mamba kwakua ulisha vuka mto eeeehhhhh
 
Mwizi wapi wakati yeye kaokota?Kiufupi huna kesi hapo ndio maana unaishia kulalama kwenye mitandao kenge wewe!
Potelea mbali mkuu! Wacha niwe kenge kabisa kama kujua sheria ndio ukenge wenyewe! Kwenye sheria unajua kitu kinachoitwa theft by finding? Tuache ligi za kitoto!
 
Potelea mbali mkuu! Wacha niwe kenge kabisa kama kujua sheria ndio ukenge wenyewe! Kwenye sheria unajua kitu kinachoitwa theft by finding? Tuache ligi za kitoto!
We hesabu maumivu,kosea tena ije kwangu uone kama utaipata!
 
Back
Top Bottom