Uache marere sasa. Na usiwe unatoa toa hela kwa wadada. Wa kumpa hela ni wako muhibu tu.
Wee...wataka kufungwa wewe naona!!
Ukizingatia tena wewe upo Verified!!!!
Yaani Nyani huyu mtu kwanza nina uchungu naye kwa sababu kala hela zangu nyingi sana
Kwanza umevunja ya Jamiiforums.."Name calling" hizo za nji ulizovunja utazifahamia Segereahahahahaha. Nimevunja sheria gani ya nji? Cantalisia yuko wapi?
Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Kwanza umevunja ya Jamiiforums.."Name calling" hizo za nji ulizovunja utazifahamia Segerea
Basi wewe bahau kabisa.....una haribu soko...unatoa fisi kwa famee?
Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Cantalisia nimemficha kwa muda....kuna watu walikuwa wanammendea sana hapa JF!!!Samahani Mkuu. Kwi kwi kwi. Segerea hapajatengenezwa kwa ajili ya mbuzi. Mbn hujanijibu kuhusu Cantalisia
kwani wewe hukumla? akikuona 'bonge la mwanaume' utapata fahari gani?Yaani Nyani huyu mtu kwanza nina uchungu naye kwa sababu kala hela zangu nyingi sana
Cantalisia nimemficha kwa muda....kuna watu walikuwa wanammendea sana hapa JF!!!