"Nitakuona Bonge la Mwanamme......"

boflo yaaani wewe ni bonge la mwanaume bwanaaaaaaaaa hata usimpe uone kama itakatika looo wadada wengine bado wanazile techniki za kizamani ya kuombea hela zipo njia mpya ambayo ukisema mwanaume anakua hana kigugumizi fast anatoa sasa yeye anaomba utafikiri mtoto wa primary bwaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa

hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....

Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa

nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!

Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?

au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
30k ndio bonge la mwanaume. ukimpa 300k atakuonaje? libonge la mwanaume

Anataka elfu 30?????? huyu lazima atakuwa mtoto wa shule -primary/secondary!!
lololololololol. asubiri kun--a debe
 
But what is your priority? Is it Kuonekana Bonge la Mwanamme au kufanya unalodhani linafaa kwako? Je, Ubonge wa kuwa mwanamme huonekana kwa kutatua matatizo ya kifedha ya Masister du? Je, wewe mwenyewe unadhani wewe ni Bonge la Mwanaume au ni mpaka uambiwe wewe ni Bonge la Mwanaume na uambiwe hivyo baada ya kupoteza pesa za maendeleo kwa Masister Du wa ajabu ajabu kama huyo wako? Jibu unalo mwenyewe.

Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa

hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....

Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa

nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!

Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?

au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
 
Jamani mpaka sasa bado tu mnatumiaka kama madaraja ya kuvukia kwa wanawake ambao hamna faida nao?Mimi kwa sasa sina muda kabisa na wanawake ambao niliwahi kuwa na mahusiano nao maana hawachelewi kutumia udhaifu wa mwanaume kupata wanachokitaka,achana nae huyo mfuga vu....huku akitegemea wembe wa kunyolea kwa jirani.
 
Nawashukuru sana wana Jf kwa michango yenu, na mme react kwa muda mfupi sana...

Nimefarijika sana, nawapenda sana na Mungu awabariki
 
Umeamua vipi sasa....mbona wakimbia mapema!
 
Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa

hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....

Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa

nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!

Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?

au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?

ahaa...wewe vipi kaka! 30,000 tu...si unamsaidia halafu unapotezea forever
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom