Babarita
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 388
- 126
bofya hapa utapata ya kumpa mmhh elfu 30tuuuuuu?????? IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
Mpe Boflo mwaya mwanaume kaumbwa mateso na mateso yenyewe ndio hayo
Yaani Nyani huyu mtu kwanza nina uchungu naye kwa sababu kala hela zangu nyingi sana
Nilikuwa nampa elfu 50 mpaka laki kwa wiki, kama miezi 3 ilopita
Yeye alikupa nini in return?
Mimi huwa najali mimi mwenyewe najionaje. Kama najiona bonge la mwanaume then I dont care mwingine ananionaje. Anachokufanyia ni kukusifu ili tuoe hiyo hela.Kuna sister du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Hahahahhaaa....
Aseeeee....alipewamo kilicho sawia na kiasi cha malipo ya fedha za kitanzania
Kwani unajali sana yeye anavyokuona?
Hahaha.....nataka kuzichanga ukija Dar tuzitumie
hahahahahaha. We mdanganye tu
Nilikuwa nampa elfu 50 mpaka laki kwa wiki, kama miezi 3 ilopita
Dah laki kwa wiki..... No wonder. HahahNilikuwa nampa elfu 50 mpaka laki kwa wiki, kama miezi 3 ilopita
itakuwa ndo BOOOOOONGE LA BWAN'ABonge la mwanaume likoje?