Mi nisingetoa chochote, hakuna kitu sipendi kama demu kunambia nipe ki2 flani ndio tu.... lazima nimpotezee. Kuna du mmoja mzuri sana nilikuwa natoka nae mida mingine anakuja geto kwangu au naenda geto kwake, siku moja kaja kwangu ghafla hakunikuta nililala gest na kichwa kingine yeye kalala peke yake asubuhi kaondoka, tulipokutana palichimbika akasema nikitaka tuendelee nimuangukie anambie zawadi ya kumnunulia ndio yaishe nikamjibu naomba unisamehe bila ya masharti ya hivyo ukitaka zawadi tafuta siku nyingine lkn kwa leo ata big G siwezi kukupa itakuwa kama unaniuzia msamaha, hatukuelewana na penzi letu liliishia hapo imebaki salamu tu.