"Nitakuona Bonge la Mwanamme......"

"Nitakuona Bonge la Mwanamme......"

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Kuna sister du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa

hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....

Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa

nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!

Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?

au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
 
kumbe wewe sio mwanaume ndio sababu akakuambia hivo
 
hahahah usimpe tu maana anataka hela tu kwako na huna maana kama usipompa hiyo hela
 
Kwa hiyo ukimpa utarudiana naye tena????? Hamna penzi hapo, shukta Boflo
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri yake ni kuwa wewe ni bonge la ****, hujiamini ndio maana anakuvisha kilemba cha ukoka ili kuboost imunity yako ya confidence kwa faida zake binafsi.
Amini kuwa wewe ni bonge la mwanamume bila hata kumrushia shing kumi.
Boflo ni bonge la mwanamume.
Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa

hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....

Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa

nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!

Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?

au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
 
Ila usijali sana wote huwa tunaambiwa hivyo hivyo......''Baby unanipa hizi tu........hazinitoshi kabisa"
 
Kwan usipomtumia PUMB.U zako zitakatika?
 
wewe ulipokuwa ukimpa mpa bila shaka nae alikupa kupa hivyo ikiwa bado uko na maslahi nae endelea kumpa mpa vihela vyako.
 
Inaelekea ulikua mhonhgaji mzuri.
Usimpe bhanaaaaaa atazoea na atakufanya ATM wake wakila SIKU.
 
nyumbani leo umewaachia sh. ngapi ya matumizi? #incase una familia#. kama hua unaacha zaidi ya hii kwa siku bas tuma,no harm.
 
Kuna sisiter du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa

hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....

Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa

nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!

Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?

au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Anataka elfu 30?????? huyu lazima atakuwa mtoto wa shule -primary/secondary!!
 
Mbona hizi ni za kawaida tu kwa maduu! Tena siku hizi kuna misemo ya "... ukinipa laki moja ntakupendajee...!" Imajie huyu ni manzi wako, na je usipompa ataacha kukupenda?

We mtafute mwambie Quid Pro Quo. Alete utumie halafu umlipe kama unaona ina thamani hiyo!! Otherwise mwambie atafute kwa wanaume wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom