Hapo una kosae, mwanamke mpenda hela ni nyokaaaaaa, anaweza hata kukuuza mwenyeweMsaidie tu kama kijana mwenzio,huwezijua anawezakuja kukufaa hapo mbeleni,...
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hapo una kosae, mwanamke mpenda hela ni nyokaaaaaa, anaweza hata kukuuza mwenyeweMsaidie tu kama kijana mwenzio,huwezijua anawezakuja kukufaa hapo mbeleni,...
Kuna sister du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Mademu wa bongo njaa sana,asa mtu anagongea hadi sh elfu 30..!!