Mpingapumba
Member
- Nov 28, 2012
- 33
- 4
Kuna sister du 1 kipindi cha nyuma nilikuwa nikimpa mpa hela , kuna kipindi akawa ananilalamikia kuwa
hela ninazompa ni kidogo, nikaachana naye....
Sasa leo kanipigia ananiomba nimrushie elfu 30 ana shida sana, na akaniambia kuwa
nikimrushia hizo pesa ataniona BONGE LA MWANAMME!!
Ningeomba mnishauri, nimrushie nionekane Bonge la Mwanamme?
au nisimrushie na nionekane sio Mwanamme?
Boflo achana nae huyo hana maana zikikuishia atakukimbia kakaaa.