Ninunue Range Rover sport au Land Cruiser VX?

Ninunue Range Rover sport au Land Cruiser VX?

We Tedo wewe ndo nini sasa?? Watu tumezisubiria hizo bajaj only to find out zimeisha!! Mwe! Wakati wengine wanawaza kubahatisha bajaj na Tigo, wengine wanashindwa kuamua wanunue mtumba upi wa nguvu. Maisha haya ama kweli hayafanani. Wahenga walijisemea 'jikune mkono wako unapofikia' sijui ndo hivo walivosema....?

Usife moyo. Society like an engine has no redundant parts each one of us from the mightiest to the least has a part to play in the grand scheme of events that constitute life.
Samahani tungule hapo fungu mia tatu
Up the tomatoes!
 
Land Cruiser ndo mpango Range rover ni ndoa ya kikristo
Kwa hiyo Land Cruiser ni ndoa ya Kiislam?? Umenifurahisha sana tehe tehe.

Back to topic, Range Rover nj gari ghali kwa kila kitu kulinganisha na Land Cruiser.

Utofauti ni kidogo tu katika luxury maana zote zipo comfortable kabisa.
 
Usife moyo. Society like an engine has no redundant parts each one of us from the mightiest to the least has a part to play in the grand scheme of events that constitute life.
Samahani tungule hapo fungu mia tatu
Up the tomatoes!
Hahahaaaa!!! True....
 
mi naomba ukisha nunua kati ya hizo.....unipe tu ride....sijawahi kupanda yoyote.....natamani sana........
 
Range rover ni gari zuri sana . engine yake ni kubwa hivyo consumption ya mafuta iko juu. RR ina confort ya hali ya juu sana huwezi kulinganisha na MAVX. Spare parts za RR zimejaa tele ila sio huko Gerezani.

Nunu RAngie Mkuu.
 
Fikiria upatikanaji wa spea na mafundi likikuharibikia popote.

Range Rover ni mgogoro. Landcruser spea nyingi na mafundi wanaoziwezea zikileta za kuleta wengi wengi mno hadi uswahilini wapo.

Mkuu E52 ukitaka gari ya uhakika nunua Landcruiser.
Hebu vinjari barabarani na uone kama Range za mwaka Juzi tu zipo barabarani., Range zinaharibika san na mafundi wake si wengi
Ni beep na ninayo moja nauza, ni bomba sana tena Diesel Turbo charged, bei maelewano.
Mi nimeenda shamba na "kilimo kwanza".
 
Last edited by a moderator:
JF RAHA SANA KUNA MTU ALIKUWA ANATAKA USHAURI WA KUFANYA wa pesa ya 250m,jana kuna mwingne alikuwa na 300m anataka ushauri,leo mtu anataka ushauri anunue vx(80m) au range(120m) du haya namimi ngoja nije na yangu any biznes idea kwa mtaji wa 20m
 
Ukimaliza na mimi nakuja na yangu ya 1b.....si unajua toto za Chugga pesa kwetu si mawazo.........
 
why would u divorce if ur HAPPY,SATISFIED with ur wife???Thats RR maan,once u drive it u'll never go back to toyota.....

Once you drive Western cars Range,VW,AUDI ETC You will never drive Eastern Cars again e.g Toyota,Nissan Western Cars are ----ing good aiseeee
 
JF RAHA SANA KUNA MTU ALIKUWA ANATAKA USHAURI WA KUFANYA wa pesa ya 250m,jana kuna mwingne alikuwa na 300m anataka ushauri,leo mtu anataka ushauri anunue vx(80m) au range(120m) du haya namimi ngoja nije na yangu any biznes idea kwa mtaji wa 20m
Usha wasikia mabilionea wa Arusha?
Hizo ni za matumizi ya siku moja mkuu!!
 
nunua range bwana...halafu unitafute pls ...maisha ni haya haya wallah tena
 
mi naomba ukisha nunua kati ya hizo.....unipe tu ride....sijawahi kupanda yoyote.....natamani sana........
aisee preta namshukuru mungu nilishawai kumiliki jamaa mwenye range katika ujana wangu na mimi nitakuwa na cha kusimulia bana...nilikuwa nikipanda pale nacheka njia nzima hi hihiii
1184914_414057895381126_358831059_n.jpg
 
Back
Top Bottom