Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,388
Na premium wamepigwa ngapi?
51.75m
Na premium wamepigwa ngapi?
mkuu nakushauri ununue basi mbili, huku Mbagala tunashida sana ya usafiri, chenji ikibaki nunua bajaji ya kutembelea ina save mafuta sana..
Umefafanua vizuri sana.Afadhali umesema hujaendesha Range Rover.....
Kuna TDV6 engine cc 2700, TDV6 cc 3000; hizi zina fuel consumption bora kuliko Land Cruiser...
BTW kama unaanza kuuliza range rover inakula mafuta vipi basi obviously thats not ur car!
TDV6 2700CC INAKUPA 10KM/L..........TDV6 CC3000 INAKUPA 8.5KM/L
Naona kuna mgongano wa kimaslahi!
Gari mbili tofauti sana, VX inabidi uifananishe na Range Rover ile kubwa hapo ndo unaleta maana. Ningekushauri VX kwa sababu ya reliability yake, Range ina matatizo ya quality.
mkuu nakushauri ununue basi mbili, huku Mbagala tunashida sana ya usafiri, chenji ikibaki nunua bajaji ya kutembelea ina save mafuta sana..
Mkuu E52 ukitaka gari ya uhakika nunua Landcruiser.
Hebu vinjari barabarani na uone kama Range za mwaka Juzi tu zipo barabarani., Range zinaharibika san na mafundi wake si wengi
Ni beep na ninayo moja nauza, ni bomba sana tena Diesel Turbo charged, bei maelewano.
Mi nimeenda shamba na "kilimo kwanza".
Mmezungumza yoooote lakini mi kwangu Landrover 109 pickup a.k.a TINDO a.k.a MANDOLINI. ndio chaguo langu mileleee.
Ni wapi huko ambako hawatumii gass guzzlers?Nilikuwa nafikiria ku comment kuhusu fuel guzzling effect.
Ukienda sehemu kwenye watu walio evolve katika social responsibility uka park mi gari ambayo inatumia mafuta in a way that is not environmentally friendly watu wanaweza kulipiga graffiti gari lako.
Kibongobongo bado tunashabikia ufahari wa migari inayotumia mafuta vibaya.
Not thinking about the environment, the future, the legacy we are leaving our children, the planet.
Of course hela mpya haiwezi kujua hayo.
Ni wapi huko ambako hawatumii gass guzzlers?
Nilikuwa nafikiria ku comment kuhusu fuel guzzling effect.
Ukienda sehemu kwenye watu walio evolve katika social responsibility uka park mi gari ambayo inatumia mafuta in a way that is not environmentally friendly watu wanaweza kulipiga graffiti gari lako.
Kibongobongo bado tunashabikia ufahari wa migari inayotumia mafuta vibaya.
Not thinking about the environment, the future, the legacy we are leaving our children, the planet.
Of course hela mpya haiwezi kujua hayo.
Ahahahahahahaha kwahiyo JF hamna maskini?JF RAHA SANA KUNA MTU ALIKUWA ANATAKA USHAURI WA KUFANYA wa pesa ya 250m,jana kuna mwingne alikuwa na 300m anataka ushauri,leo mtu anataka ushauri anunue vx(80m) au range(120m) du haya namimi ngoja nije na yangu any biznes idea kwa mtaji wa 20m
Vigari walionunuliwa na waume za watu wameaza kuvipaki uani, mafuta hakuna chezea Magu wwahahaaa kumbe unajua source za magari ya wadada mujini eeh hapo hapo