Ninunue Range Rover sport au Land Cruiser VX?

Ninunue Range Rover sport au Land Cruiser VX?

mkuu nakushauri uchukue land cruiser vx uk model ni poa na services zake si pasua kichwa na ni comfortable kwa miundombinu yetu.
 
Yaani ukinunua luxury cars, pa kuendesha hakuna jijini labda masafa marefu...jijini Dar hapa na hapa unaenjoy then unakumbana na foleni kali dah!
 
wacha majelous wewe! kakope pride ununue hata toyo..mwanaume usafiri jua linachoma sana mjini hapa!

Nikope vipi jasho langu nimenunua kaAltezza changu kanitoa mjini we si unasubiri kununuliwa na Mume wa mtu,,,thread ya kutunga kabisa hii!!
 
Nikope vipi jasho langu nimenunua kaAltezza changu kanitoa mjini we si unasubiri kununuliwa na Mume wa mtu,,,thread ya kutunga kabisa hii!!
ahahaaa kumbe unajua source za magari ya wadada mujini eeh hapo hapo
 
Mleta Uzi hii ni thread ya3 kama sikosei akiomba ushauri wa kununua gari gani linafaa halafu porojo nyingi. Alianza kuomba ushauri wa Vitz, Akaja Verossa sasa hivi Range Rover.
 
We Tedo wewe ndo nini sasa?? Watu tumezisubiria hizo bajaj only to find out zimeisha!! Mwe! Wakati wengine wanawaza kubahatisha bajaj na Tigo, wengine wanashindwa kuamua wanunue mtumba upi wa nguvu. Maisha haya ama kweli hayafanani. Wahenga walijisemea 'jikune mkono wako unapofikia' sijui ndo hivo walivosema....?

Ndo hivo tena!!!! Dunia ina disparities nyingi tuu.....Anyway kutofautiana huko ndo kunafanya tuyaone maendeleo..
 
aisee preta namshukuru mungu nilishawai kumiliki jamaa mwenye range katika ujana wangu na mimi nitakuwa na cha kusimulia bana...nilikuwa nikipanda pale nacheka njia nzima hi hihiii
1184914_414057895381126_358831059_n.jpg
Hahahaaa. Smile kumbe mwanamke akimiliki mume mwenye range rover automatic na yeye atakuwa kamiliki hiyo range rover. Nshakumbuka. Ni sawa na wanaume wanaopima VVU kupitia wake zao!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom