mi naomba ukisha nunua kati ya hizo.....unipe tu ride....sijawahi kupanda yoyote.....natamani sana........
nunua range bwana...halafu unitafute pls ...maisha ni haya haya wallah tena
Mkuu E52 ukitaka gari ya uhakika nunua Landcruiser.
Hebu vinjari barabarani na uone kama Range za mwaka Juzi tu zipo barabarani., Range zinaharibika san na mafundi wake si wengi
Ni beep na ninayo moja nauza, ni bomba sana tena Diesel Turbo charged, bei maelewano.
Mi nimeenda shamba na "kilimo kwanza".
wewe utapanda?
Prera nakutafuta...nina toyo ujue
Mkuu hii hapa fo seli!!!!Dah, Mkuu Wewe ni Mkali! Haishangazi basi Kuwa unaMkonvisi mwana aibuke na LCruiser!...Kweli Mjini Shule!!:smiling::smiling:
mi naomba ukisha nunua kati ya hizo.....unipe tu ride....sijawahi kupanda yoyote.....natamani sana........
Chukua land cruese .ni imara na hakuna matatizo kwenye spear na rais kuihuza .kama unaitaji ninayo naiuza.bei makubaliano .cm yangu 0713959290