😀😀😀kuna mtu aliniambia.....akiwa na appointment na mtu.....ya kula bata.......huyo mtu akaja na bodaboda.....anamuacha.....can you imagine.....watu wabaya Smile......
😀😀😀kuna mtu aliniambia.....akiwa na appointment na mtu.....ya kula bata.......huyo mtu akaja na bodaboda.....anamuacha.....can you imagine.....watu wabaya Smile......
Ni land cruiser 200 series na sio vxWadau poleni na majukumu...
Nimejaribu kufanya utafiti ili niweze kujua ubora wa haya magari mawili,,,
Ninaomba ambao wanayamiliki au wenye upeo nao wanisaidie nifanye uchaguzi sahihi....
Ninunue kati ya Range Rover Sport au Land Cruiser VX?
Natanguliza shukrani
Huyu atakuwa wanabishana kijiweni halafu anakuja kuchukua nondo JF anaenda kuoshaMleta Uzi hii ni thread ya3 kama sikosei akiomba ushauri wa kununua gari gani linafaa halafu porojo nyingi. Alianza kuomba ushauri wa Vitz, Akaja Verossa sasa hivi Range Rover.
Not true land cruiser 200 series and not vx haiuzwi 80m wala land rover haiuzwi bei hyo,btw hajawa specific anataka ya mwaka gani?JF RAHA SANA KUNA MTU ALIKUWA ANATAKA USHAURI WA KUFANYA wa pesa ya 250m,jana kuna mwingne alikuwa na 300m anataka ushauri,leo mtu anataka ushauri anunue vx(80m) au range(120m) du haya namimi ngoja nije na yangu any biznes idea kwa mtaji wa 20m
Mkuu ukiona mtu anataka kujitwisha huo mzigo ujue ana nguvu hana pesa za mawazo km mm na wewe,hizo gari zote spea zipo ni hela yako tu,hata km bongo haipo anaweza agiza na ikatumwa kwa ndege!Fikiria upatikanaji wa spea na mafundi likikuharibikia popote.
Range Rover ni mgogoro. Landcruser spea nyingi na mafundi wanaoziwezea zikileta za kuleta wengi wengi mno hadi uswahilini wapo.
JF Wote Matajiri,Wana magari,Wanakaa ushuani,Wana mademu wakare,Wamejenga mijumba ya kufa mtu,wanafanya bizness za aina zote(wana mashamba ya mpunga,wana green house,wanafuga kuku,ngombe,mbuzi etc),wanapokea mishahara mikubwa yaani ni balaa.Ahahahahahahaha kwahiyo JF hamna maskini?
Humu kila mtu ana pesa kila mtu katoka familia ya kishua kila mtu anadrive hamn masikin humu watu wote shipping mliman city na sehem zinazoendan na hizo hahahahah jf bwanaAhahahahahahaha kwahiyo JF hamna maskini?