Mr.Holmes welcomes you home!
alafu nina kushuku hata wewe pia una maind mzigo 😅
Aah wapi ujinga wa jf na nyota wapi na wapi!Seran nyota imeng'aa
Au sio, ngoja nije huko....Bro usiongee sana relax...ya pm hauyajui
Afu unakuta dume linatongoza dume jenzie .... hii ni mitandao, watu tunatakiwa kuishi kimastaTena 🆔 feki 😀
Tajeree za sikuAisee,
Nawe tajeer za siku?Tajeree za siku
Tonge La Mwisho Ndiyo La Kukombea Mboga ZoteLengo lake akombe tu mboga
Hakika bro😅Mifugo iwepe haki yao ya kula ugali 😁
Naunga mkono hoja bwashee, Seran hawezi tuacha kuwasambazia wapendwa biaForrest Gump
Seran
Mambo yakiwa mazuri msinisahau siku ya harusi yenu niwe msimamizi upande wa vinywaji,nikisaidiana na min -me
😃chakula kizuri kabisa hiki mkuu
Sina cha kuwajibu kwakweli..Seran majibu tafadhali cc The Icebreaker
Siku ukipata cha kutujibu usisite mkuu.Sina cha kuwajibu kwakweli..
Wewe ni wa sinza sehem gani seranNext time iweke vizuri hiviView attachment 3586553
Msicheze mbali tu!Siku ukipata cha kutujibu usisite mkuu.