Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,926
- 97,564
Hajatoa ela ya mboga huyu atakufa njaa😎Mlishapikiana?
Hajatoa ela ya mboga huyu atakufa njaa😎Mlishapikiana?
Hajatoa ela ya mboga huyu atakufa njaa😎
Niliona ni utamaduni wa pale mana niliona mshati ya rangi ya chama sasa sifahamu imekaa vpUlitoa taarifa kwa wahusika na ikakaliwa kimya hii?
Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
View attachment 3586376
Namalizana nae nini hatoi maelekezo huyu, kwanza me beach boy napeleka wapi?Kumbe beach boy? Akuingize baharini then umpikie kwa kuogopa kuzamishwa😀😀😀
Wazee tuliwapisha mmalizane ujue
Namalizana nae nini hatoi maelekezo huyu, kwanza me beach boy napeleka wapi?
Hmm hii kasheshe!Niliona ni utamaduni wa pale mana niliona mshati ya rangi ya chama sasa sifahamu imekaa vp
Ni vitu siezi jaribu😁Baharini😀😀😀
Ni vitu siezi jaribu😁
Aah hapana aisee! We kuweza?😅Nikajua mlishapikiana na kulishana huo mchicha na side yake na kumekucha na mambo mapya...
Itapendeza sikukuu ya idd kubwa nikualike geto unipikie pilau la ngamiaMi mwenyewe nasubiri kuandaliwa hapa😌
Ili iweje sasa?Itapendeza sikukuu ya idd kubwa nikualike geto unipikie pilau la ngamia
Iwe sunna tu hutaki baraka za wazeeIli iweje sasa?
Nilizonazo zinanitosha aisee!Iwe sunna tu hutaki baraka za wazee
Ukija huku tutafika mbali, kesho unakuja na nyuzi....eve ni mtamu afu watu watakua hawakuelewi kabisa bro.Au sio, ngoja nije huko....