Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
View attachment 3586376
images (3) (14).jpeg
 
Kupost thread haitokusaidia, nenda jf chirt chart download picha yake, sogea hapo visiwa vya pemba piga ndumba matata, atakufata PM mwenyewe.. Ila kujiliza liza hapa unajichora tu,
Kwa hii picha yake hakuna uchawi unapenya kwenye moshi wa bangi….

1778408690831.png
 
Mbona unakuwa mjinga na mpumbavu mkuu .....
Unampenda mtu humjui ? Hujawahi kumuona ? Hujui hata background ama status yake ?

Just kuona threads na comments zake umempenda ? How?

Tuna shida kubwa sio kidogo, ndio maana lile lijamaa la marekani lilisema tunahitaji kutawaliwa tena ... shit_hole

Seran njoo mchukue mumeo mama
Tena 🆔 feki 😀
 
Bro usiongee sana relax...ya pm hauyajui
 
Back
Top Bottom