Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,926
- 97,564
Sinza kwa remy🤣Wewe ni wa sinza sehem gani seran
Sinza kwa remy🤣Wewe ni wa sinza sehem gani seran
Kwa nini aseeSina cha kuwajibu kwakweli..
Sisi tupo na wewe mpaka siku ya harusi,Msicheze mbali tu!
Kijana karusha kombora kaishia kukimbizwa tu!Kwa nini asee
Velvet ishafunguliwa?Sinza kwa remy🤣
Achana nao , kuna pisi kuzimiliki lazima uwe miyeyusho muache ajichetue tu😁😁Kijana karusha kombora kaishia kukimbizwa tu!
Sikuiz kinaanzia telegram kinaombwa na wauminiMakaka mmeqndaa zawadi gani? Au mpo namimi mpaka kibumbu changu kitembee humu ndani🤣
Zawadi zetu kwako ni ulinzi kamili ili shemeji asikuchukulie poa kwenye maisha yenu.Makaka mmeqndaa zawadi gani? Au mpo namimi mpaka kibumbu changu kitembee humu ndani🤣
Imefungwaje kabla hata sijapatembelea? 😎😎😎😎Velvet ishafunguliwa?
Nilikuona jana selfika unavuta bangi nikajua huyu familia 😅Karibu lols🤣
View attachment 3586626
Nakijulia wapi mimi mkuuVelvet ishafunguliwa?
Hahhaha kwahiyo kuna pisi zinahitaji vijana wenye kuketa zesheni🤭Achana nao , kuna pisi kuzimiliki lazima uwe miyeyusho muache ajichetue tu😁😁
Hivi ni shingapi kuitoa mkuu! Mbona kama ujira huu🤔Sikuiz kinaanzia telegram kinaombwa na waumini
Mno , kipi kiarabu hapo bwashee 😅Hahhaha kwahiyo kuna pisi zinahitaji vijana wenye kuketa zesheni🤭
We tatizo hukazi shauri yakoLeo leo kazi ipo!!!
Na akizingua msiache kumtembezea mkong’oto tu!Zawadi zetu kwako ni ulinzi kamili ili shemeji asikuchukulie poa kwenye maisha yenu.