Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,993
- 100,568
Acha basi! Kwahiyo unaniweka kabisa kwenye mambo ya namna hii wakati unajua mimi na violence ni hivi😂 inaweza kuwa utani au serious mkuu ila me nimeongelea kuhusu kupenda ila kukubali au kukataa ni juu yako