min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,462
- 171,578
Bia madamDawa ya kipanda uso ni ipi?
Bia madamDawa ya kipanda uso ni ipi?
Shemelaaa!😍Imefungwaje kabla hata sijapatembelea? 😎😎😎😎
Nipo seriousBia madam
Khaaa navuta kabisa mdomoni au😅Nilikuona jana selfika unavuta bangi nikajua huyu familia 😅
Mwenyewe nipo serious vibaya mnoNipo serious
Heeh hili bango sasa! Ushawaka wewe!!Mno , kipi kiarabu hapo bwashee 😅
NipotezeeMwenyewe nipo serious vibaya mno
Hahahaha ulipita na kitop cha karume cha buku mbili cha blue, nikaona unyama mkononi 😅Khaaa navuta kabisa mdomoni au😅
Heh kumbe ulikuwa umejibanza unatozoom tu na bintie wa kale😆Hahahaha ulipita na kitop cha karume cha buku mbili cha blue, nikaona unyama mkononi 😅
Mno nakula pombe 24hrs , kumaliza pesa halafu nife ila naona sihishiwi bado😅PrHeeh hili bango sasa! Ushawaka wewe!!
Sasa je 😅Heh kumbe ulikuwa umejibanza unatozoom tu na bintie wa kale😆
Changamoto sanaAfu unakuta dume linatongoza dume jenzie .... hii ni mitandao, watu tunatakiwa kuishi kimasta
Kijana mdogo tu yupo vizuriAiseee Pixel zinazoom,huyu Jamaa kazoom kutoka Mbagala darajani mpaka Mkuranga maporini View attachment 3586634
😅😅😅kaaziii ipoooooLeo leo kazi ipo!!!
Hebu nitumie kidogo tuone kama haziishi tuMno nakula pombe 24hrs , kumaliza pesa halafu nife ila naona sihishiwi bado😅
Mhmm umekuja tena jf bila kusalimia wakubwa kaoneKijana mdogo tu yupo vizuri
Safi sukari yao mzmaNawe tajeer za siku?
Hahahaha chache namwachia A 😅😅 asije kuwa pisi kali na pesa hana😁Hebu nitumie kidogo tuone kama haziishi tu
kumbe na wewe muongeaji hivi mkuu...!!Mno nakula pombe 24hrs , kumaliza pesa halafu nife ila naona sihishiwi bado😅