Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Mbona unang'aka kwa gadhabu kiasi hicho mkuu? Au wewe ndio huyo Seran mwenyewe umekuja kumshushia vinu kwa ID nyingine sababu haumuelewi?

Ujinga aisee.... humu ni mitandaoni na hatujuani .... how mtu unasema unampenda flani ? Alafu maisha yamebadilika, kwenye mitandao kuna ma-parody mengi... jitu ni dume linajifanya jike na linajibebisha... from no where uje ndo uzimike Ngumu sana
 
anaependa ni mwingine na anae pendwa ni mwingine ila wanao kasirika ni wengine yani humu ndani sijui ni wivu au chuki zisizo na maana 🤦‍♀️🤦‍♀️,,, kupenda ni free muacheni mkaka wa watu khaaa
 
Back
Top Bottom