Ninauguliwa na baba watoto wangu

Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Naongea hivi kwa kuwa JF kuna wahanga walishajaribu kusaidia lakini mwisho wake kumbe muomba msaada alikuwa anazuga tu..
Kwa hiyo utaulizwa maswali mengi ili watu waweze kuthibitisha hoja yako bila kuwa na wasi wasi wowote.
Ili kuweza angalia credibility ya story zake inabidi ujue historia yake!..Dada aliwahi leta stori ya msaada wa ada mtoto ake amalize chuo kama sikosei!..Anapitia mengi lakini ana moyo mkubwa pia!
 
Pole sana Mamndenyi kwa mtihani huu.....binafsi sichangii mtu pesa haswa mwanamke, mimi najitolea nafsi yangu tu kukukumbatia na kukupapasa ili nikufariji. Kama uko tayari niambie tukutane wapi, na huyo ex wako simpi pole kwani mlisha achana tayari.
Kwani kwenye Post yake kuna sehemu ameandika anataka kukumbatiwa na kupapaswa?
 
Si kweli!
Watu wanasema kwa minajili wasaidiwe!
Sio kusema kutoa yaliyo kifuani ili kupata psychological solace na relief!
Mamdenyi katoa vitu hadharani ili mwenye "kuguswa" atoe chochote!
Tatizo langu ni kua,hawasemi straight "wakuu nauguliwa sina hela niongezeeni nimtibu"...wanakuja kinyumenyume!!!
Hili ni jukumu,alikua hajajipanga kulirekebisha,misaada inatafutwa kijanja!
I find it hard when someone uses some third-party language to deceive people to get huruma ya msaada,inaonesha lack of honesty na hypocrisy.Ni ujanja pia maana wanadamu hatupendi mtu aje straight.

This is beyond me!
Umeanza lini kumjua mleta mada au kupitia post hii!?...mbona huwa hamjaribu kufanya background cheki vitoto vya siku hizi!?..
 
Mm sina hela lakni nikisema pole ni zaidi ya pesa makaratasi. Ngoja wachange nami nitakuchangia nauri ya kurudi. Pia nko mbeya nambie sehemu gan mgonjwa yupo maana matapel nao wapo kila kona
 
Ndo umenikumbusha kitu hapa, kuna mdada alikuja kwa ndugu yake (jirani yetu), kujisubiria ili ajifungue. Week nzima ana dalili zote za kujifungua, ila anaenda hospital anakaa then inabidi atolewe coz hamna chochote. Imefika stage ni amechoka hajiwezi kabisa, hali imekuwa mbaya wakasema ngoja wampeleke kwenye maombi. Kufika kanisani Mchungaji akamwambia; "wewe hauna medical complication yoyote wala hujarogwa, kinachokuchelewesha kuzaa ni uchungu ulionao juu ya mzazi mwenzio (kumbe mzazi mwenzie amemtelekeza etc); hamishia huo uchungu wa moyoni uje huku chini, then utajifungua salama". Akaondoka zake kwa amani and yes, usiku wake akajifungua mtoto wake salama salimin. Kwa kweli kadri unavyofunga moyo wako ndivyo na mambo yako yanajifunga hivyo hivyo.
Ni kweli, wachungaji wengi ni wana saikolojia wazuri sana, muda mwingine huwaponya watu kwa kutumia saikolojia.
 
Mm sina hela lakni nikisema pole ni zaidi ya pesa makaratasi. Ngoja wachange nami nitakuchangia nauri ya kurudi. Pia nko mbeya nambie sehemu gan mgonjwa yupo maana matapel nao wapo kila kona
ameandika mahali karibia na kwa sugu.itapendeza ukaenda ili Tomaso wa waamini.uyu mama nimegundua asilimia mia hadanganyi na nimechungulia mahali ni kama mama yangu kabisa.shikamoo kwake .duh kwel tunaweza chukuliana poa uku Jf wengine kiumri wametuacha mbali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom