Ninauguliwa na baba watoto wangu

Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Alafu kuuguza kwnyw huna uwezo, unaomba usaidiwe! Hv ukifika unasemaje? Nimekuja kuuguza mzazi mwenzangu? Na mkewe anakukaribisha kabisa? Haya ile umefika leo, kesho mgonjwa kafa (God forbid) si utashikwa uchawi? Haki wanawake wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe tu bila sababu za msingi..
Huwezi jua, wengine huwa wanaachana lkn bado wanakuwa na mawasiliano mazuri. Mwache tu afanye kile ambacho anaona ni sahihi! Kila la heri kwake!
 
Mkuu

Unachosema ni sawa.

Ila mkuu hii trend inabadilika,sio sawa na zamani.

Inabadilika taratibu,step by step.

Harusi za zamani zilikua hazina kadi,sasa hivi ukumbini unaingia tu kwa mualiko wa kadi maalum,zamani kijijini mtu hazuiwi mlangoni.Sasa hivi harusi au msiba ni exclusive event,hatujiendei tuu kama zamani za machifu.

Sasa hivi,shida zinakua exclusive issues kwa mtu na watu wake ndio wanajuana wao tabia zao na maisha ya staili gani wanaishi ndio maana wanaombana mikopo ya hapa na pale.Tatizo ni kuiingiza jamii nzima mizigo yako sababu tu unaitwa Mamdenyi ulianza JF 2011 na una follower wengi sana.Hii ni social leverage,kutumia umaarufu kua ombaomba.This is wrong!
Mie mwenyewe nilipata ukakasi nilipofungua hii thread.lakini nikahisi labda humu kuna utaratibu huo.nkakaa kimya.

"Mkinisema nalia".
 
Mie mwenyewe nilipata ukakasi nilipofungua hii thread.lakini nikahisi labda humu kuna utaratibu huo.nkakaa kimya.

"Mkinisema nalia".
Kila mtu ana Uhuru
Kwani akiomba kuna shida gani? Ni vile tu anaomba msaada wa ex wake me ningempa.ila mwanaume alietelekeza family siwezi kutoa hela yangu
 
Niah unafeli sana!

JF nipo tangu 2009.Nilikua natumia ID tofauti mpaka Dec 2017 nikaamua kuachana nayo!

Wewe kua na audacity ya kusema siijui JF ni unfounded claims!

Shuruti ya kuniambia ni-log out inatoka wapi?Jibu ulichoulizwa,huwezi sema siwezi!

Shida yenu ni kutuaminisha kua matatizo yetu tuanze kuweka kwenye threads ili kuomba msaada,thats ridiculous approach!

Wote tuna matatizo sawa,hii kuandika makala ni roho ngumu kama ya tapeli!

Unaojuana nao eti sababu umekaa sana JF wafate DMs msaidiane,no problem!

Kwanza who knows who in a personal level ya kuanza kupeana fedha za kutibiana mabwana?Walao mtoto ningeona hoja ya maana!

JF ni sawa na kijiji na kusaidiana ipo toka zamani kuna baadhi ya watu tumeshachangia kwenye misiba na ugonjwa so kutoa ni moyo wako unavyojisikia
 
Kupitia huu uzi nimegundua kuna baadhi ya wanawake wana miroho mibaya kumzidi hata shetani, na sishangai miaka inaenda hawaolewi na wengine kila siku wanaleta uzi wa kuachika na kutafuta wanaume tu, na hawatapata kamwe kwa miroho hiyo
 
Rafiki, jambo la ajabu mara nyingine wenye roho mbaya ndio wenye wingi wa vitu au mafanikio.
Lakini wengi wao hawaviwapi furaha na amani kwa ajili ya roho mbaya.
Nimegundua kuwa maskini na wenye maisha ya kawaida ndio wana ushirikiano na upendo.
 
Niah unafeli sana!

JF nipo tangu 2009.Nilikua natumia ID tofauti mpaka Dec 2017 nikaamua kuachana nayo!

Wewe kua na audacity ya kusema siijui JF ni unfounded claims!

Shuruti ya kuniambia ni-log out inatoka wapi?Jibu ulichoulizwa,huwezi sema siwezi!

Shida yenu ni kutuaminisha kua matatizo yetu tuanze kuweka kwenye threads ili kuomba msaada,thats ridiculous approach!

Wote tuna matatizo sawa,hii kuandika makala ni roho ngumu kama ya tapeli!

Unaojuana nao eti sababu umekaa sana JF wafate DMs msaidiane,no problem!

Kwanza who knows who in a personal level ya kuanza kupeana fedha za kutibiana mabwana?Walao mtoto ningeona hoja ya maana!
Mimi kama mwalimu wa lugha hicho kiswahili ulichokitumia sasa hivi kinaniashiria wewe siyo mtanzania. Sitasema mengi ila naomba tuache sisi wewe endelea na ya kwako na kama wewe ni mtanzania nenda shule kasome tena lugha sababu ngeri na misemo haiendani. Usinijibu sababu sina haja ya kujibizana na wewe.
 
Nami nilihisi sio Mtanzania
Amesema yupo tangu miaka mingi lkn naona hana roho ya Ktz, huenda ni mzungu kwani haya ya kusaidiana sio utamaduni wao
 
JF ni sawa na kijiji na kusaidiana ipo toka zamani kuna baadhi ya watu tumeshachangia kwenye misiba na ugonjwa so kutoa ni moyo wako unavyojisikia

Kijiji kwenye shida!

Kwenye raha na mengine sio kijiji?

Haya maisha ya magroup ya whatsapp mnataka kutuletea na JF iwe WhatsApp group?

Mkuu tukileta wote shida za kuuguliwa humu hapataenea kabisa!

Tunavumilia shida wote humuu.Watu tunabeba mizigo kama yeye ila ndio kuna kumezea kuepuka kusumbua jamii iliyohusika kabisa!
 
ndio maana sio wote wanaoleta shida inategemea umezidiwa kiasi gani
Kuna watu humu tumechanga harusi kiroho safi kabisa
so una uhuru wa kuchanga au kuacha mbona sio lazima ?
mtoa mada hajasema kama ni lazima 🙂🙂

Have blessed weekend
 
Mimi kama mwalimu wa lugha hicho kiswahili ulichokitumia sasa hivi kinaniashiria wewe siyo mtanzania. Sitasema mengi ila naomba tuache sisi wewe endelea na ya kwako na kama wewe ni mtanzania nenda shule kasome tena lugha sababu ngeri na misemo haiendani. Usinijibu sababu sina haja ya kujibizana na wewe.

Niah!

Tusianze kutishiana professions humu!Tuongee with open minds tu!

Mwalimu halafu unasema "ngeri"?!Really?

Sina haja ya kutetea Utanzania wangu hapa,ni kupoteza muda wako na wangu tu!

Niwaacheje wakati mmeleta mambo yenu kwenye jukwaa la hadharani mkuu?Mngekufungua grupu special muitane wenyewe mfanye yenu!

Hapa public wote tutaongea kwa mitizamo tofauti,na unatakiwa kukubali tu!Hamna haja ya kua na ill feelings namna hii!

Hii tabia ya kuomba misaada hadharani kwa watu usiowajua ni dalili moja hivi ya kitapeli.Unaweza kua genuine ila decision making ability yako will be seriously on suspicions!Huku ni kukosa good manners tu.

Fata unaowajua,hata humo DMs au wapigie simu,waeleze ishu yako,kwavile wanakujua fika,watakusaidia kama wewe unavyowasaidiaga!
 
ndio maana sio wote wanaoleta shida inategemea umezidiwa kiasi gani
Kuna watu humu tumechanga harusi kiroho safi kabisa
so una uhuru wa kuchanga au kuacha mbona sio lazima ?
mtoa mada hajasema kama ni lazima 🙂🙂

Have blessed weekend

Dada FirstLady1:

Una kipimo gani cha kujua nani kazidiwa kiasi gani?Huna!

Wewe unaona anaetoa thread ndio kazidiwa?Thats not true at all!

Kuuguliwa na mwanaume ulieachana nae 20years ago ndio kuzidiwa?

Ndio maana nakwambia watu tumezidiana upayukaji!Mamdenyi ni type ya wale kila kitu chake chenye liability ni lazima aipayukie jamii imsaidie kubeba hizo liabilities kiasi fulani.

Hebu tuweni serious!
 
Haya hutokea kwenye familia nyingi.
Nakumbuka dingi alipokuwa na nguvu aliacha wake zake 4 aliowaoa kihalali na kutekwa na dada mmoja ambaye umri wake ni kama dada zetu.
Alipofirisika na kuanza kuumwa akakumbuka nyumbani.
Alirudi akiwa mgonjwa na kile kidada kilimtelekeza.
Alihudumiwa na kina mama na watoto mpaka alipoaga dunia.
Misfortune huwa zinatokea kwenye familia.
 
Kila mtu ana Uhuru
Kwani akiomba kuna shida gani? Ni vile tu anaomba msaada wa ex wake me ningempa.ila mwanaume alietelekeza family siwezi kutoa hela yangu
Ishu sio kuomba,hata mie nikikwama na nikakosa njia ya kutatua tatizo langu mwenyewe nitaomba msaada,lakini siwezi kuja kuomba humu,nina ndugu jamaa na marafiki,na majirani nitaanza nao hao kwanza.hakuna shida yeye akiomba humu ana uhuru huo na mimi pia nina uhuru wa kutoa maoni yangu
 
Kuomba hakuna mpaka ndo maana kuna ambao wanaomba barabarani.muache aombe
 
Kama hutaki kumchangia huyu dada acha na huna sababu ya kutoa maneno ya kashfa. Hapa JF ndipo ameona jamii yake ipo na yuko huru kuomba na wapo walioitika wito na kumpa msaada. Sioni sababu ya kutoa maneno ya kashfa kabisa. Imagine ungekuwa ni wewe. Tambua kuna leo na kesho na kesho hutaweza kuifahamu kwa kuwa ni mtihani wa mungu mkubwa kwa mwanadamu. Leo unaweza ukawa uko vizuri sana kesho ukashangaa maisha yanabadilika mno. Mwacheni huyu mama. Attacks ni nyingi na imagine anapita hapa kusoma. Tuna hali tofauti kimaisha na kama Mungu amekupa hali nzuri sali sana na mshukuru. Ukweli huyu ex alimtelekeza ila kumbuka kuna kusamehe na kuachilia ili maisha yasonge na baraka huwa ndiyo tunazipata kwa kujali waliotutesa kwa hali yoyote ile.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom