Ninauguliwa na baba watoto wangu

Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
ID ya Mamdenyi naifahamu.

Na mimi sio mtoto.Unapogeuka mganga wa kienyeji kupiga ramli ndio unapofeli!

Background check ya nini na anajulikana muomba misaada sio mara ya kwanza!Ni ombaomba kwa lugha rahisi kabisa!

Mtu mwenye tabia ya kuombaomba ni mtu mkwepa majukumu na he/she will never get any respect no matter the ID you have on JF!
Kwahiyo tatizo ni kuomba misaada?
Mi nilijua ni tapeli kumbe anaomba acha ujinga leo unacho kesho hauna utakua mgeni wa nani.
 
Ili kuweza angalia credibility ya story zake inabidi ujue historia yake!..Dada aliwahi leta stori ya msaada wa ada mtoto ake amalize chuo kama sikosei!..Anapitia mengi lakini ana moyo mkubwa pia!
And kabla ya hilo, majina ya mikopo yalipotoka mwaka huo alisema kabisa kuwa watoto wake wamekosa mkopo japo wana vigezo vyote.

Tatizo la baadhi ya wanaJF wanadhani sote tunaishi masaki tuna mabiashara makubwa, diplomat positions na kuendesha fancy cars, wakati kimsingi wengine tunamaisha ya mtanzania wa kawaida kabisa, hivyo mwenzetu akiomba ashikwe mkono tunakuwa wepesi kuelewa, tunaijua shida ninini na tunaelewa kuna namna nyingi za kutatua shida.
 
Umenena vyema kushikana mkono ni jambo jema, jf sio kijiwe cha majungu na umbea bali kubebana pia.
Humu kuna mtu alifukuzwa kazi za ulinzi, wana jf walijitolea kumpiga tafu akaezeka nyumba yake na akahamia.
Kuna kijana alikuwa chuo flani Sumbawanga, alifiwa na kakake aliyekuwa mlezi tulimsaidia kulipa ada.
Kuna watu wamefiwa na tumewapa rambirambi.
Kitoa ni moyo, na pia kama umrpitia matatizo ni rahisi kumuelewa mwenzio akilia shida.
Nchi yenyewe inatembeza bakuli je wananchi tuache kusaidiana?

Mtu akimwona huyu dada ni tapeli au omba omba, atuachie sisi tumajitoa kitapelia au hata kumsaidia omba omba wao wabaki na pesa zao.
 
Njoo pm msaada wangu sitakupa pesa sababu wengi ni matapeli,nitakuunganisha kwenye basi newforce utapanda na utakula Mimi nitajua jinsi gani nitakavyo walipa,nimeguswa sana na matatizo nami ni binadamu
 
Tambua kwamba binadamu si wote wa kweli yeye aje PM kikubwa jina lake halisi wamuone then ataonesha siti,hivi mfano akienda achukue tiketi halafu auze je?,
 
Rahisisha mambo kwa kuwasiliana nae kwa 0755 557094
Barikiwa sana na Mungu akuongezee
 
ID ya Mamdenyi naifahamu.

Na mimi sio mtoto.Unapogeuka mganga wa kienyeji kupiga ramli ndio unapofeli!

Background check ya nini na anajulikana muomba misaada sio mara ya kwanza!Ni ombaomba kwa lugha rahisi kabisa!

Mtu mwenye tabia ya kuombaomba ni mtu mkwepa majukumu na he/she will never get any respect no matter the ID you have on JF!
Haya bhana. Mungu anajuwa.
 
maisha ya nyuma ya keyboard ni fumbo kwa wengi...
Tunakutana humu, stori nyingi, kufurahi na kukerana kumbe huwezi jua unachat na mtu yupo katika hali gani.
Kufikia hatua ya mkongwe kama huyu jf kukosa nauli ya kufikia mbeya nashindwa kuelewa yani, ila ndio hivyo shida zipo kwa binadamu.
Pole sana Mamndenyi ,
 
Tambua kwamba binadamu si wote wa kweli yeye aje PM kikubwa jina lake halisi wamuone then ataonesha siti,hivi mfano akienda achukue tiketi halafu auze je?,
Asante. Tumeshaongea. Nitakukumbusha jumamosi.
 
maisha ya nyuma ya keyboard ni fumbo kwa wengi...
Tunakutana humu, stori nyingi, kufurahi na kukerana kumbe huwezi jua unachat na mtu yupo katika hali gani.
Kufikia hatua ya mkongwe kama huyu jf kukosa nauli ya kufikia mbeya nashindwa kuelewa yani, ila ndio hivyo shida zipo kwa binadamu.
Pole sana Mamndenyi ,
Acha masikini kwa masikini tusaidiane matajri wakejeli.
 
Kwahiyo tatizo ni kuomba misaada?
Mi nilijua ni tapeli kumbe anaomba acha ujinga leo unacho kesho hauna utakua mgeni wa nani.

Utaombaje msaada JF wewe?

Kuna tofauti na kupitisha bakuli pale Ubungo mataa?maana ni hadhara haswa kama hii.

Kuna watu unaowajua in person,wa maisha,hua mnakopeshana,au vicoba,au saccos,au workmates zako,au balance zako,etc...unakata hapo kidogo unamtibia muhusika wako kama wanavyofanya wanadamu wengine wote!

Sio ustaarabu kuomba hela kwa watu usiowajua kwenye hadhara?Nasemea "hadhara"!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom