Sikupangii mkuu, lakini ukweli lazima niuseme ili wenye mawazo kama yakwako wajitambue.....Usinipangie cha kuandika. Andika wewe sasa.

Be positive itakusaidia sana kama hauwezi basi ukiona jambo linakukereketa unakaa kimya.Ushimen
Nothing u can tell me kuhusu ID inayoitwa Mamdenyi!
Nipo JF tangu 2009!
Hii ni ID yangu ya pili,niliachana na ya kwanza!
Naona una judge a book by its cover,and thats cute of you!
Una ukubwa gani?
Ukubwa ni kuja kulia shida na kuomba michango kwenye internet?
This is new to me!
Tatizo humu ndani tumechanganyikana na watoto wasio fahamu maana ya neno "ukubwa jalala" na wamekariri ugali wa shkamoo.... mbaya zaidi wakija humu tunawaita kwa heshima "mkuu" then wanataka watupande vichwani... common....![]()
![]()
Najitambua vilivyo.Sikupangii mkuu, lakini ukweli lazima niuseme ili wenye mawazo kama yakwako wajitambue.....
Alafu eti unajifanya kuzira humu.....![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu unaonaje hili wazo lako ukalifungulia uzi ili tujue unacho sema hapa unamanishaKila binadamu ana matatizo!
Kila mtu alishauguza na anauguza!
Shida tumeumbiwa wote!
Tatizo ni pale kuna waliokosa aibu na common decency tu wa kuyashughulikia matatizo yao kama wengine wote humu wanavyofanya.Wanachofanya ni kutunga insha zenye maneno ya kuhuzunisha sana na kuyaweka hadharani jamii iwabebe hayo matatizo.Ni tabia mbaya sana ya kukwepa majukumu!
Walao basi mtu uje kwa uwazi na sio kinafiki nafiki namna hiii.Inaonesha kuna low level of honesty.
Bimkubwa kaweka wazi shida yake, na kwa unyenyekevu mkubwa kaomba kusaidiwa na yeyote atakae guswa....Ushimen
Unajua unashangaza sana.
Mtu kaweka matatizo yake hadharani kwenye public sphere!
Kuna watakao sympathize nae na kuna ambao hatuta symphathize nae.
Tatizo huelewi haya mawili.Unadhani kila mtu atakua apologist nae kama wewe ulivyo!
Na elewa ukiweka kitu chochocte hadharani lazima kijadiliwe na hao watu waliopo kwenye hiyo hadhara.Wewe kujifanya watu wajadili utakavyo wewe ndio unaonesha ulivyo mis-informed kabisa!
Asante kwa busara zako mkuu, maana hapa nilitaka nimfuate na bakora....Mkuu huyu kama alivyo sema ana ID mbili basi jua ameona ameshambuliwa na moja kaja na nyingine mpotezee maana waswahili wanasema
Umoja hutimiza lengo kuu
Mkuu unaonaje hili wazo lako ukalifungulia uzi ili tujue unacho sema hapa unamanisha
Hilo jina lako ukitoa S ukaweka C halikubaliki kiserikali.

Kwa kweli Duuuu na ile ID mpya umeipiga chini au unazitumia zote NdukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiWakati napita Dar niliibiwa device comrade, hapa heshima imerudi kwa mchango wa kijiji huku Ushirombo......![]()
![]()
![]()
Na Mungu anamuonaKuna watu humu nimegundua wana roho mbaya sana.
Kama huwezi kusamehe yaliyopita utaishi maisha ya tabu sana hapa duniani.
Bimkubwa kaweka wazi shida yake, na kwa unyenyekevu mkubwa kaomba kusaidiwa na yeyote atakae guswa....
Bahati mbaya sana mme kuja wanao fanana na wewe kwamba mnamuuliza vijimaswali na ama mnampa ushauri, wakati bimkubwa hakuja kuomba ushauri hapa na hajakuja kuhitaji mjadala wa matatizo yake na mzazi mwenzie.....
Ebu toa hela mkuu, hata 2000 is better than nothing.
Na Mungu anamuona
Tayari comradeAbeeee
Hivi wewe ushamsaidia dadako au unapiga debe tuu hapa
Mkuu humu ndani tupo na walio kimbia na mashuka kule dodoma kwenye hospital yetu ile ya mi........eAsante kwa busara zako mkuu, maana hapa nilitaka nimfuate na bakora....
Be positive itakusaidia sana kama hauwezi basi ukiona jambo linakukereketa unakaa kimya.
Tulioguswa acha tuchange tukiibiwa ni za kwetu na siku ukiwa na shida andika tukiguswa tutatoa pasipo hata kuchunguza Id yako. Uwe na wakati mwema.

Zote 2 zipo hewani ariff.....Kwa kweli Duuuu na ile ID mpya umeipiga chini au unazitumia zote Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Duhhh.....Kuna wanawake humu ukiachana nao wanatamani hata ufe.
Comment zimeniogopesha sana
