Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Haujatimiza hata miezi miwili humu jf, hivyo kaa pembeni utuache wahenga na shida zetu Gademmit shubamit....![]()
![]()
![]()
Mzee acha ku-judge bila kufikiri!
Hii ni ID yangu ya pili!
Nipo JF tangu 2009!
Nothing you can lecture me on anything,on JF atleast!
Mtu unakuja JF kuomba msaada to some random people kwa kuandika makala?
Tujifunze ku-deal na emergency problems,wote yanatukuta kila siku,kila mtu akiandika humu server za JF zitatosha?
Heri hata uwe honest useme directly kabisa "naomba msaada yamenishinda",nilichoona ni shindano la kuandika insha yenye kuhuzunisha na majonzi zaidi watu waingie huruma,nothing more!