Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Ww si una roho mbayaAna roho nzuri dada wa watu. Mimi nisingemsaidia kwa chochote labda watoto wake wamsaidie. Pole dada..
Ww si una roho mbayaAna roho nzuri dada wa watu. Mimi nisingemsaidia kwa chochote labda watoto wake wamsaidie. Pole dada..
Tuma mchango wwPole mama angu. Ningeshauri uedit post uweke na namba ya simu iwe rahisi watu kuiona. Mungu wetu wa mbinguni yuko nawe. Nitajitahidi na mimi nikushike mkono.
Nahisi atakua mtani wako.Tuma mchango ww
Leo umeniangusha Madam, huyu anajenga daraja la kifamilia hasa watoto kuwaunganisha na nduguze wewe hutaki?Mama hebu kuwa na akili komavu. Kama huna pesa za kusafiri huhitaji kuchangiwa ukamuone ex tena usikute ameoa utakuta kebehi huko.
Kama anaongea mpigie simu umpe pole Na muombee Mungu ampende zaidi ili na wewe uolewe wenyewe wanasema 'oa single maza kama mumewe kafa'
Ni kweli ana roho nzuri. Ila kama ni mkristo, sio tu ugonjwa, hata mwenza anapofariki hawaziki had mke/mume awepo. Hata kama mlitengana kitamboAna roho nzuri dada wa watu. Mimi nisingemsaidia kwa chochote labda watoto wake wamsaidie. Pole dada..
Kama haya mandishi yameandikwa na mwanamke anaitwa mama basi mungu anisamehe kwa nili vyo kuwaziaMama hebu kuwa na akili komavu. Kama huna pesa za kusafiri huhitaji kuchangiwa ukamuone ex tena usikute ameoa utakuta kebehi huko.
Kama anaongea mpigie simu umpe pole Na muombee Mungu ampende zaidi ili na wewe uolewe wenyewe wanasema 'oa single maza kama mumewe kafa'
Usiache kumsindikiza na chochote mpendwaPole mama na hongera kwa roho nzuri ulonayo mi nakuombea safari njema
Sina kitu mkuu hata sala ya dhati ina thamani kubwa tuUsiache kumsindikiza na chochote mpendwa
Mama hebu kuwa na akili komavu. Kama huna pesa za kusafiri huhitaji kuchangiwa ukamuone ex tena usikute ameoa utakuta kebehi huko.
Kama anaongea mpigie simu umpe pole Na muombee Mungu ampende zaidi ili na wewe uolewe wenyewe wanasema 'oa single maza kama mumewe kafa'
Amen dadakeSina kitu mkuu hata sala ya dhati ina thamani kubwa tu
Pole sana Mkuu hivi toke mlivyotengana hukuwa na Mahusiano Mazuri na Familia yako au Familia Yake? Huna Ndugu wa damu wa karibu kabisa mbali na Members wa JF.. Naongea hivi kwa kuwa JF kuna wahanga walishajaribu kusaidia lakini mwisho wake kumbe muomba msaada alikuwa anazuga tu..Salaam sana wana MMU wote;
Nimekuja kwenu rasmi kuleta taarifa hii ya kuuguliwa na bwana ambaye nimezaa naye watoto wangu wote wanne.
Kweli tulifikia mahali kimaisha tukatengana tokea 2001. Kila mmoja akiwa na maisha yake huku nikiwa na changamoto kubwa na kali za kulea watoto ambao ilibidi nibaki nao, hayo kwa sasa tuyaweke pembeni.
Hadi ninavyoandika huu uzi hakuna mtoto hata mmoja ambaye ameshapata kibarua wote wapo kwenye kuhangaika kutafuta kazi.
Ilipofikia mwaka jana mwishoni nikapata taarifa ya kuwa yule bwana niliezaa naye anaumwa, nikajuwa ni homa za kawaida tu.
Leo kaka yake ndo ananipigia simu na kusema kuwa mdogo wake amezidiwa sana na alikuwa amezimia ila kazinduka tena juzi.
Kwangu hiki kitu ni kikubwa nimeshindwa kukibeba.
Kwenu wana jamii kwa upendo wenu ninaomba mnichangie nauli ili niweze kwenda huko Mbeya kumwona huyo mgonjwa. Kama mnavyojua mahali penye ugonjwa mkubwa pia panahitajika hela ya matumizi mengineyo.
Kwa wana jamii wa Mbeya mnaweza kwenda kumuuona nyumbani ni Sae.
Naomba tu msinitukane maana nitalia;
Siwezi kukufurahisha kila siku. Nimekoment ki great thinker sema umesoma juu juuLeo umeniangusha Madam, huyu anajenga daraja la kifamilia hasa watoto kuwaunganisha na nduguze wewe hutaki?
Pia anataka asiachiwe deni moyoni endapo huyu x wake ataenda njia ya ulimwengu asibaki na lawama.
Mamndenyi go dadake
Kama haya mandishi yameandikwa na mwanamke anaitwa mama basi mungu anisamehe kwa nili vyo kuwazia
Sawa kila la kheri mama wa nchi ya ng'amboTena mama kweli sio wa nchi hii.
Hivi watanzania tuna tabia gani....POLE Mamdenyi, usiende huko Mbeya na hela nyingi maana mgonjwa hatapona kama ni muhimu sana uza vi kuku vyako au ka kirikuu upeleke kwa mgonjwa.
Mtumie kwa namba hiyo tafadhali 0755 557094Siamini kama ni wewe dadangu pole sana! Huo mchango tunatumaje?
Nimeshamtumia mkuuMtumie kwa namba hiyo tafadhali 0755 557094