Ninauguliwa na baba watoto wangu

Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Kushare tatizo lako na wenzako na kupata mawazo yao kwa kiasi kikubwa husaidia kupunguza mawazo ambayo mwenye tatizo huwa nayo na hivyo kupunguza hatari ambayo ingetokea iwapo angebaki nalo mwenyewe

Hili la kukomaa kisabuni ndio mwishowe unasikia mtu kajiua aidha kwa kujinyonga au kunywa sumu maana alikaa na tatizo mwenyewe akidhani halina suluhu kumbe angeshare na watu kama alivyofanya mleta mada angepata msaada
Sorry mkuu, unaanzaje kujiua kisa ex anaumwa? Tena mliachana 17yrs ago, alimove on akaoa na watoto juu!! Nadhani ingeleta maana kama anaomba nauli kwa watoto wakamwangalie baba yao lkn yeye! Hell no.

My thought though, no hard feelings
 
Mungu akubariki pia kwa moyo wako mkunjufu!! Wanawake wengi huteswa na mapepo na magonjwa mengi kwa sababu ya kuhifadhi uchungu vifuani mwao!! Hongera kwa kushinda Hilo jaribu


Si kweli!

Watu wanasema kwa minajili wasaidiwe!

Sio kusema kutoa yaliyo kifuani ili kupata psychological solace na relief!

Mamdenyi katoa vitu hadharani ili mwenye "kuguswa" atoe chochote!

Tatizo langu ni kua,hawasemi straight "wakuu nauguliwa sina hela niongezeeni nimtibu"...wanakuja kinyumenyume!!!

Hili ni jukumu,alikua hajajipanga kulirekebisha,misaada inatafutwa kijanja!

I find it hard when someone uses some third-party language to deceive people to get huruma ya msaada,inaonesha lack of honesty na hypocrisy.Ni ujanja pia maana wanadamu hatupendi mtu aje straight.

This is beyond me!
 
Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;

Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.

Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;

Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.

Asanteni sana!
Tumekuelewa mkuu pole sana,bora umesema maana siri siku zote humfanya mtu kutokuwa huru...
 
Si kweli!

Watu wanasema kwa minajili wasaidiwe!

Sio kusema kutoa yaliyo kifuani ili kupata psychological solace na relief!

Mamdenyi katoa vitu hadharani ili mwenye "kuguswa" atoe chochote!

Tatizo langu ni kua,hawasemi straight "wakuu nauguliwa sina hela niongezeeni nimtibu"...wanakuja kinyumenyume!!!

Hili ni jukumu,alikua hajajipanga kulirekebisha,misaada inatafutwa kijanja!

I find it hard when someone uses some third-party language to deceive people to get huruma ya msaada,inaonesha lack of honesty na hypocrisy.Ni ujanja pia maana wanadamu hatupendi mtu aje straight.

This is beyond me!
Humjui mleta mada weye na ulichoandika unaonesha dhahiri hujasoma post ukaielewa
 
Salaam sana wana MMU wote;

Nimekuja kwenu rasmi kuleta taarifa hii ya kuuguliwa na bwana ambaye nimezaa naye watoto wangu wote wanne.

Kweli tulifikia mahali kimaisha tukatengana tokea 2001. Kila mmoja akiwa na maisha yake huku nikiwa na changamoto kubwa na kali za kulea watoto ambao ilibidi nibaki nao, hayo kwa sasa tuyaweke pembeni.

Hadi ninavyoandika huu uzi hakuna mtoto hata mmoja ambaye ameshapata kibarua wote wapo kwenye kuhangaika kutafuta kazi.

Ilipofikia mwaka jana mwishoni nikapata taarifa ya kuwa yule bwana niliezaa naye anaumwa, nikajuwa ni homa za kawaida tu.

Leo kaka yake ndo ananipigia simu na kusema kuwa mdogo wake amezidiwa sana na alikuwa amezimia ila kazinduka tena juzi.

Kwangu hiki kitu ni kikubwa nimeshindwa kukibeba.

Kwenu wana jamii kwa upendo wenu ninaomba mnichangie nauli ili niweze kwenda huko Mbeya kumwona huyo mgonjwa. Kama mnavyojua mahali penye ugonjwa mkubwa pia panahitajika hela ya matumizi mengineyo.

Kwa wana jamii wa Mbeya mnaweza kwenda kumuuona nyumbani ni Sae.

Naomba tu msinitukane maana nitalia;

Tunachangia wapi sasa? Pole sana ndio mitihani ya dunia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom