Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Kwa 50+ days zenye umekaa humu, hazija kutosha kumfahamu @Mamdenyi...... Hivyo kaa chini wakubwa tujadili mambo ya msingi na wewe endelea kujifunza na uijue jf na watu wake mujarabSi kweli!
Watu wanasema kwa minajili wasaidiwe!
Sio kusema kutoa yaliyo kifuani ili kupata psychological solace na relief!
Mamdenyi katoa vitu hadharani ili mwenye "kuguswa" atoe chochote!
Tatizo langu ni kua,hawasemi straight "wakuu nauguliwa sina hela niongezeeni nimtibu"...wanakuja kinyumenyume!!!
Hili ni jukumu,alikua hajajipanga kulirekebisha,misaada inatafutwa kijanja!
I find it hard when someone uses some third-party language to deceive people to get huruma ya msaada,inaonesha lack of honesty na hypocrisy.Ni ujanja pia maana wanadamu hatupendi mtu aje straight.
This is beyond me!
SawaToa pesa acha mahubiri
Mara nyingine wana wingi wa mali but haziwaletei furahaAmigo....
Watu kama hawa huwa hawafanikiwi na Mungu hawabariki kwa roho zao mbaya......
Yeah ni kweli. Wanawake wanatunza sana machungu vifuani mwaoNdo umenikumbusha kitu hapa, kuna mdada alikuja kwa ndugu yake (jirani yetu), kujisubiria ili ajifungue. Week nzima ana dalili zote za kujifungua, ila anaenda hospital anakaa then inabidi atolewe coz hamna chochote. Imefika stage ni amechoka hajiwezi kabisa, hali imekuwa mbaya wakasema ngoja wampeleke kwenye maombi. Kufika kanisani Mchungaji akamwambia; "wewe hauna medical complication yoyote wala hujarogwa, kinachokuchelewesha kuzaa ni uchungu ulionao juu ya mzazi mwenzio (kumbe mzazi mwenzie amemtelekeza etc); hamishia huo uchungu wa moyoni uje huku chini, then utajifungua salama". Akaondoka zake kwa amani and yes, usiku wake akajifungua mtoto wake salama salimin. Kwa kweli kadri unavyofunga moyo wako ndivyo na mambo yako yanajifunga hivyo hivyo.
Namba ya bimkubwa ni 0755 557094Tunachangia wapi sasa? Pole sana ndio mitihani ya dunia
Mkuu huyu kama alivyo sema ana ID mbili basi jua ameona ameshambuliwa na moja kaja na nyingine mpotezee maana waswahili wanasema
Umoja hutimiza lengo kuu
Naomba nikupuuze tafadhali....Mzee acha ku-judge bila kufikiri!
Hii ni ID yangu ya pili!
Nipo JF tangu 2009!
Nothing you can lecture me on anything,on JF atleast!
Mtu unakuja JF kuomba msaada to some random people kwa kuandika makala?
Tujifunze ku-deal na emergency problems,wote yanatukuta kila siku,kila mtu akiandika humu server za JF zitatosha?
Heri hata uwe honest useme directly kabisa "naomba msaada yamenishinda",nilichoona ni shindano la kuandika insha yenye kuhuzunisha na majonzi zaidi watu waingie huruma,nothing more!

Wewe shida yako nini? Kama kuchanga tumechanga sasa kinakuuma nini?Unataka umoja gani?
Umoja kutoka kwa some random internet people u even do not know in person?
I see!
Kwa 50+ days zenye umekaa humu, hazija kutosha kumfahamu @Mamdenyi...... Hivyo kaa chini wakubwa tujadili mambo ya msingi na wewe endelea kujifunza na uijue jf na watu wake mujarab
Mkuu we fanya unacho weza kukielewaUnataka umoja gani?
Umoja kutoka kwa some random internet people u even do not know in person?
I see!
Tatizo humu ndani tumechanganyikana na watoto wasio fahamu maana ya neno "ukubwa jalala" na wamekariri ugali wa shkamoo.... mbaya zaidi wakija humu tunawaita kwa heshima "mkuu" then wanataka watupande vichwani... common....Nimefurahia DEBE lako mkuu, ubarikiwe sana sana

@SakayoToa pesa acha mahubiri
Mkuu we fanya unacho weza kukielewa
Ila huwezi kuelewa wanacho fanya wengine
Hapo najua na wewe una matatizo yako sasa unatafuta pa kupunguzia hasira
Mapito ya mwanadamu hayawezi kufanana maana kila mmoja na pito lake
Nikuombe kitu mkuu ukijua jambo lina kukela jitahidi ulifungulie uzi ili lijadiliwe kuliko kuja kukashifu wengine
Muache tena si umeshajua ni mtoto? Au na wewe unaendelea kuwa mtoto?Tatizo humu ndani tumechanganyikana na watoto wasio fahamu maana ya neno "ukubwa jalala" na wamekariri ugali wa shkamoo.... mbaya zaidi wakija humu tunawaita kwa heshima "mkuu" then wanataka watupande vichwani... common....![]()
![]()
Abeeee@Sakayo
Wakati napita Dar niliibiwa device comrade, hapa heshima imerudi kwa mchango wa kijiji huku Ushirombo......Unajificha wapi wewee jamani??
