Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Naam rafiki wa faidašHellow friend
Naam rafiki wa faidašHellow friend
Just to say hi..Naam rafiki wa faidaš
Yangu ni furaha kukuona mwaaJust to say hi..
Tutake radhiUzee unakuandama.
HahaaAa nimepokeaYangu ni furaha kukuona mwaa
Si ww ndo tumeongea apo dukani kwa mangi ukasema Unapenda pesa kuliko ndoa na chochote!!ā¦Wakuu, husika na kichwa cha uzi.
Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa..
Ila nikiipata sasa.. weweeeeššš nakua nna mahabah hatari na kisirani na gubu vyote vinaisha.
*nimeamini kweli pesa sabuni ya roho *
Sawa mtu mzima mwenzanguššMimi si mtu mzima mwenzako! Nafahamu.
šššIpe roho yako kitu inapenda maisha yenyewe mafupi.
Nani?sijaona ukimaliza ahidi ya mchango wa harusi ya rafiki yetu, jitahidi basi mama mzuri
Kwani mimba inashikwa mkononi kama pesa?Eeh sa ulishikaje mimba kabla ya hela ?
#Samahan lakini
Ya zamani sana..šššSi ww ndo tumeongea apo dukani kwa mangi ukasema Unapenda pesa kuliko ndoa na chochote!!ā¦
Sasa unashangaa nini kuwafokea wanoa kisa huna elaš¤£š¤£š¤£si tabia yako hyo tangu unaolewa
š¤£š¤£š¤£š¤£ Hata mimi nafikiri hivi hiviUtakuwa na michezo na marejesho mengi ya vikobaššš
Kama Mungu kwanza mbona pesa umeweka mbeleMungu kwanza... mengine hufuata..
Hakuna mtu ambaye hatamani pesa ila tu tumezidiana kwenye kutamani wapo wengine ni wa kuwango Cha high level, middle level na lower level ila kwa upande wako naona ni wa high level hii ni mbaya Sana maana Unaweza kujikuta unafanya mambo ya ovyo tu kutokana na msukumo wa kuhitaji ankaraWewe hutamani pesa?
Vyote vinatafutwa ... Ungekuwa bize kutafuta hela kwanza mana mimba ht Kona ya pili hapo ungeokotaKwani mimba inashikwa mkononi kama pesa?
Kwakweli marejesho ni nomaššš¤£š¤£š¤£š¤£ Hata mimi nafikiri hivi hivi