Ninapenda pesa

Ninapenda pesa

Mnanisingizia mambo ya ajabu ajabu tuu.🤣🤣🤣🤣
Aisee leo nimepata vijisenti njoo unichune basi
Unaona sasa... halafu unasema eti unaonewa😂😂😂😂


Njoo buzi uchunwe😂😂
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Wakuu, husika na kichwa cha uzi.

Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa..

Ila nikiipata sasa.. weweeee nakua nna mahabah hatari na kisirani na gubu vyote vinaisha.

*nimeamini kweli pesa sabuni ya roho *
Kupenda pesa ni hatari Sana!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom