dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,800
- 61,629
tangazo hili
Wewe umeona tangazo mkuu?😂😂😂
Khakhakhaaaa!!Unatupa ujumbe gani mmama...tukupe pesa?
Nazitafuta..Sa si utafute mbona zipo tu
Sikatai😂
Mpe kidogo tuSikatai😂
Apewe nini wakati ni yeye anaetaka kunipa?Mpe kidogo tu
🤣🤣🤣🤣🤣Nipe huo mfano wa mwisho kwanza halafu utaona mchanganuo wake😂😂😂
Haiombwi hivyo
😕[emoji848]
Yani umemaliza kila kitu😂😂😂KOSA PESA alafu ukose na mitiiii yani unaweza piga watoto ukauaa
Katika kupenda pesa usimsahau na Mungu[emoji53]
Mungu kwanza... mengine hufuata..Katika kupenda pesa usimsahau na Mungu
Sawa kabisaMungu kwanza... mengine hufuata..