Ninapenda pesa

Ninapenda pesa

Kwa matumizi..
Matumizi yapi?

Mfano:
Je nikikupa laki tano sasa hivi, utaitumiaje?

Je nikikupa milioni moja sasa hivi utaitumiaje?

Je nikikupa milioni 5 sasa hivi utaitumiaje?

Je nikikupa milioni 10 sasa hivi utaitumiaje?

Je nikukupa millioni 50 sasa hivi utaitumiaje?

Je nikikupa millioni 100 sasa hivi utaitumiaje?

Naomba majibu tu. Nipo curious tu 😂😂
 
Nipe huo mfano wa mwisho kwanza halafu utaona mchanganuo wake😂😂😂
 
Pesa sabuni ya roho,hakuna kiumbe kisichoipenda pesa,kama wapo ni 1/1000000

Ngoja tuendelee kuzitafuta tukipata nanyi mtatutafuta sababu hatuwezi tafuta mara 2, 2. Yaani nitafute pesa kisha nihangaike poa kumtafuta wa kuja itumia😂
 
Points zimebebwa hapa ila Kwa sababu tumezoea kunyoosheana mikono Kwa kujiona ni watakatifu Zaid ya wengine bas Kuna watu watakataa
Wote hawapendi pesa humu🙌🙌😂😂
 
Pesa sabuni ya roho,hakuna kiumbe kisichoipenda pesa,kama wapo ni 1/1000000

Ngoja tuendelee kuzitafuta tukipata nanyi mtatutafuta sababu hatuwezi tafuta mara 2, 2. Yaani nitafute pesa kisha nihangaike poa kumtafuta wa kuja itumia😂
Ndivyo yalivyoumbwa..
 
Back
Top Bottom