Ninapenda pesa

Ninapenda pesa

Labda ndio wanaita midlife crisis sijui.

Mkuu, ukikosa pesa chezea dyudyu walau stress levels zinapungua kidogo
Hata nichezee nini hainipunguzii machungu mpaka nizipate😂😂😂
 
Wew hupendi pesa ila unatamaa na pesa kwanin ukikosa pesa unawafokea watoto kwani watoto ndio wamekunyima pesa mtu Kam wew sio wakumpa Dili la pesa
Sababu ukipewa Dili la pesa utaleta tamaa
Na watu wakigundua unatamaa watakua hawakupi Dili za pesa mwisho wa siku utakosa kabisa pesa
 
Wewe hutamani pesa?
 
Wakuu, husika na kichwa cha uzi.

Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa..

Ila nikiipata sasa.. weweeee😋😋😋 nakua nna mahabah hatari na kisirani na gubu vyote vinaisha..

*nimeamini kweli pesa sabuni ya roho *
Watu kama nyinyi mnaopenda sana pesa, huwa mnakuwa ni watu poa na waelewa sana kwenye baadhi ya mambo! Yaani mara nyingi huwa hamna mambo mengi. Aisee ubarikiwe sana.
 
Wakuu, husika na kichwa cha uzi.

Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa..

Ila nikiipata sasa.. weweeee nakua nna mahabah hatari na kisirani na gubu vyote vinaisha..

*nimeamini kweli pesa sabuni ya roho *
kama unapata furaha yako kwa kupenda pesa ni vizur uzipende zaid
 
Back
Top Bottom