Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
ajira ni ngumu sana kiukweliaiseee hii ni babkubwa.salamu hizi ziwafikie ma-john kisomo wote wanaodhani kupoteza miaka mingi mfululizo shule ndio mafanikio.PHD holder unatafuta kazi?!!i thought u guys were the most hunted candidates by employers.damn you "EDUCATION".
Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
Fanya hivi: ficha chet cha PhD, omba kazi halafu utapata. Ukishakuwa mzoefu kazini na ukawa na uhakika kuwa utendaji wako wa kazi watakuwa wameupenda, wape cheti cha PhD ila usiwadai maslahi zaidi, kama ni vipi watakufikiria wao wenyewe. Huwezi kupoteza kazi
Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
Mbaya zaidi una PhD, manake hata kujiajiri kwenyewe inabidi kuwe kwa ki-PhD PhD! Tuache masihara, kwa nchi kama Tanzania mtu ukachukue ubao pale Mchikichini halafu ukae mwenyewe; trust me, mungu atakuporomoshea midhambi hadi uipate!napenda sana nijiajiri lakini tatizo ni mtaji mkuu
shukrani mkuu
PHD kabisa afu huna kazi!! Yaaan dah hapana,, mmmmmh! Hatujafika huku kwa Tanzania kama hutuchori tafuta kazi zipi nyingi sana kwa grade yako.
yaan CBE,IFM, TIA kuna ma lecture wana videgree afu wakuu wa vyuo hivyo wanawatafuta watu kama wewe afu useme huna kazi, uko locked au vyeti umevipatia msimbazi!??
Loading,,,,,,,,,,,,
Omba kazi UN kama Consultant....hata zile za muda mfupi mfupi.....zitakutoa with time...then utaingia kama permanent staff wa UN......ila usichoke ku-apply on line......
Kaka mbona mataasisi ya kijeruman bongo yapo kibwena umekosa hata huko maana mi washkaj waliosoma Ujerumani wapo GTZ,Goeth Institute etc washtue DAAD wakuunganishe kwenye projects na NGO za akina Rudi Voller au Kijeruman hakipandi?maana hilo laweza kuwa tatizoHabari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
Mkeo kashakubali kunyoa mavuz.i?
Huyu jamaa ni muongo tu, ni chuo gani Tanzania kilichojitosheleza lecturers hadi wamkatae mtu mwenye PHD!!???aiseee hii ni babkubwa.salamu hizi ziwafikie ma-john kisomo wote wanaodhani kupoteza miaka mingi mfululizo shule ndio mafanikio.PHD holder unatafuta kazi?!!i thought u guys were the most hunted candidates by employers.damn you "EDUCATION".