You can't be serious!! kuna shida hapo, moja huna connection na jamaa mliosoma nao kuna kipindi ulijitenga baada ya kupata hiyo sponsor, pili, ukienda sehemu unajikweza sana kisa una phd, tatu, unachagua kazi, nne, we ni mtoto wa mama, unaangalia tv mno, tano huna majukumu yaani hujaoa wala huna mtoto, sita, kuna kauvivu flani hivi cha kuapply kazi, saba, hauko compitent, yaani hujiamini na field yako, nane, unaishi mbezi au masaki hujawahi kulala na njaa wewe. HUWEZI kuwa na Phd afu unaomba ushauri wa kupata kazi ati..! USHAURI!! kwanza amka usingizini! tafuta kazi broo Tanzania kubwa hii, nyie mnaompa ushauri fear hamtakii maisha mema mwambieni ukweli, kuna kazi za planning, project coordinator, head of departments zimejaa zoom tanzania afu mnampa ushauri simple namna hiyo? CV siku hizi unaandika tuu hata kauongo flani kuwa ulishafanya hivi na vile ukishapata kazi kitaeleweka tuu bwana, what is expirience wakati una projects umefanya ukiwa masters na Phd!! sijakuelewa!! Tafuta kaziii, mm kila siku huwa naaply kazi japo nina kazi yaaan kila siku just emagine na nytingine hata sijasomea.